'Sugu' ashikiliwa na polisi

Wakuu nimeona headline tbc1 kuwa 'sugu' ashikiliwa na polisi ila sikupata details za tukio lenyewe..pia nimejiuliza why wana muadress mheshimiwa kwa nick name? Au sio mr mbilinyi mbunge? Kama kuna mwenye details za tukio pls atujuze..
 
Duh..yani bado watu wanaiota TVT????. Badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma..Oh dear! Nway, siku nyingine weka kitu kilichokamilika siyo kukurupuka tu.
 
Back
Top Bottom