Harufu ya Mh. Sugu kuhamia CCM yanukia

Nyamtalakyono

JF-Expert Member
Dec 17, 2015
795
479
Kuna dalili za kutosha zinajionesha hivi punde Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Sugu atahamia CCM. Hili ninalizongumza ni kutokana na Mbunge huyo kuonesha anafurahishwa sana na utendaji wa Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Mzalendo John Pombe Magufuli. Nakupongeza Mh Sugu na nakushauri njoo CCM kumenoga.
 
Wewe akihamia ccm au asipohamia unafaidika na nini au unapungukiwa na nini.
 
Kwa hiyo kila mtu anae furahishwa na rais anataka kujiunga ccm?
Poor reasoning
Kuna dalili za kutosha zinajionesha hivi punde Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Sugu atahamia CCM. Hili ninalizongumza ni kutokana na Mbunge huyo kuonesha anafurahishwa sana na utendaji wa Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Mzalendo John Pombe Magufuli. Nakupongeza Mh Sugu na nakushauri njoo CCM kumenoga.
 
Safi Sugu kwa kuwaumbua bavichaa
Screenshot_20190426-172426.jpeg
 
Kuna dalili za kutosha zinajionesha hivi punde Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Sugu atahamia CCM. Hili ninalizongumza ni kutokana na Mbunge huyo kuonesha anafurahishwa sana na utendaji wa Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Mzalendo John Pombe Magufuli. Nakupongeza Mh Sugu na nakushauri njoo CCM kumenoga.
Nakubaliana na wewe wapinzani wa sasa hivi ni kama tajiri aliyefilisika na kubakiwa na ndevu tu.
 
Ndiyo yale ninayosema Mbowe ni Mwalimu Mahiri ni dhahiri shairi Mwanachama akitoka Chadema kuja kwetu Ccm haijalishi ni kiongozi au msuasi mapokezi yake au matangazo yake yanatangazwa mara nyingi mpaka kero pale tunapojionyesha yaani hatuna watu Mahiri Mbona Chadema wakipokea mfuasi au kiongizi yeyote hakuna mbwembwe zozote zaidi kukabidhiwa kadi tena saa nyingine anakabidhiwa na Kiongozi wa shina.

Tubadilike tunaonekana hatuna team na hao tunaowasajili wote 24 yaani tunainguza virusi kuja kutafuna mafsili tuu hakuna la zaidi muda unaenda tutayaona mengi

Back
Top Bottom