Sugu amjibu Mwita........

Wakwetu03

Senior Member
Sep 15, 2010
190
81
Mh Joseph Osmond Mbilinyi ambaye ni mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amemjibu ndugu mwita mmoja wa users wa hii blog ambaye amekuwa akimkashfu mara kwa mara hapa.Sugu kupitia albam mpya antivirus vol2 wimbo namba 19.
WHAT MORE I CAN SAY!

ajifunze kuwa na roho ngumu ya kupuuza baadhi ya mambo,kwa mfano sugu kuhangaika na huyu bwana mdogo mwita ni kujivunjia heshima,ashughulike na mambo ya muhimu mkuu,2015 jimbo litaondoka lile

Mh Joseph Osmond Mbilinyi ambaye ni mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania amemjibu ndugu mwita mmoja wa users wa hii blog ambaye amekuwa akimkashfu mara kwa mara hapa.Sugu kupitia albam mpya antivirus vol2 wimbo namba 19.
WHAT MORE I CAN SAY!

Shule jamani.

akianza kujibu kila anaemkashifu...atapata muda wa kufanya ya maana?
Mkuu, tukumbuke Sugu ni msanii wa Hip Hop.....whatever that means kwa wabongo, lakini moja kati ya vitu ambavyo hawa waumini wa huu mziki wanachofanya ni kwamba, you dont let people step on your 500 Dollar shoes and walk away without a punch on the groins. SIMPLE.

You hate me, I hit back. that is the rule.

Sishangai kama Sugu ataendelea kuwachana haters wake.

hata kama ni msanii wa taarab
sasa hivi yeye sio mtu huru
yeye ni mtumishi wa jimbo la mbeya mjini
je watu wa mbeya mjini wamemtuma kujibishana na wanaomkashifu?????

Bosi unachanganya ubunge na usanii.
Embu muhukumu kwa ubunge wake na wanambeya.
Na umuhuku kwa usanii wake na mafans wake.

lakini mziki si ndio ulivyo? u sing abt whatever u want na wateja wako walewale watakusikiliza! mnataka aimbe siasa kwa vile ni mbunge? senator schwaznigger aliacha kuigiza movies alipoingia kwenye siasa? mbona wakina mlata bado wanaimba nyimbo za injili ilhali waliompigia kura ni waumini wa dini zote?

usije fanya tukapewa ban kwa kuongea mengine hapa..
hivi martha mlata ana jimbo?
yeye si mbunge maalum wa ccm na ana vigogo wanaomlinda for who knows what?????

sugu ana jimbo,tena anatoka upinzani....
anything can be used against him....
hatusemi asiimbe,but priorities zake ni zipi?

akianza kujibu kila anaemkashifu...atapata muda wa kufanya ya maana?

hebu jaribu kuisikiliza hiyo mixtape albam ndo utjua vizuri utaona nini anamaanisha mh sugu na mtatofautisha kati ya elimu(masters n.k) na kuelimika

usije fanya tukapewa ban kwa kuongea mengine hapa..
hivi martha mlata ana jimbo?
yeye si mbunge maalum wa ccm na ana vigogo wanaomlinda for who knows what?????

sugu ana jimbo,tena anatoka upinzani....
anything can be used against him....
hatusemi asiimbe,but priorities zake ni zipi?

Kuwaimbia nyie vipofu, viiwete watarajiwa na viziwi!

Kuna watu duniani kutokana na ufupi wa mitazamo yao ktk uhalisia wa mambo na kufuata hisia za mioyo yao bila kutafakuli mambo kwa mitazamo saidia hukashifu watu wale wanaojitahidi kuwa vioo vya jamii labda tu anaguswa na mafunzo ama ni mshabikia ujinga,sasa mwacheni Sugu atimize wajibu wake aliopewa na Mungu ktk jamii ya Watanzania.

Similar Discussions

Back
Top Bottom