Elections 2010 Sugu akisaini kitabu cha wabunge mjini dodoma

Paulo

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
350
66
MAY PEACE BE UPON YOU GREAT THINKERS!
HEBU MTU ALIYEKO DODOMA AMA BUNGENI ATUJUZE HALI YA HUKO IKOJE JAMANI. NIMESIKIA KWENYE RADIO WAKICHAMBUA TASWIRA ZA BUNGENI NA WAKAELEZEA KUA MH. SUGU AMEONEKANA AKITIA SAINI KITABU CHA WABUNGE. BINAFSI NIMEFARIJIKA SANA NA NAOMBA WADUE WENYE HIZO TASWIRA WAZILETE HAPA JAMVINI ASAP.
:peep:
 
nilitegemea picha hapa

hii ni mr 2, Sugu , Joseph Mbilinyi, kiboko ya mafisadi wa mapenzi dhidi ya watoto wetu , clou.... akiingia Mjengoni

attachment.php
 
hahaaa mwenye picha ya John Shibuda aweke bana...i can imagine jinsi anavowa mock CCM hahaaaaa.....Shibuda weeeeeeeeeeeeeee wanipa raha mie ....
 
MAY PEACE BE UPON YOU GREAT THINKERS!
HEBU MTU ALIYEKO DODOMA AMA BUNGENI ATUJUZE HALI YA HUKO IKOJE JAMANI. NIMESIKIA KWENYE RADIO WAKICHAMBUA TASWIRA ZA BUNGENI NA WAKAELEZEA KUA MH. SUGU AMEONEKANA AKITIA SAINI KITABU CHA WABUNGE. BINAFSI NIMEFARIJIKA SANA NA NAOMBA WADUE WENYE HIZO TASWIRA WAZILETE HAPA JAMVINI ASAP.
:peep:

Mwana hiyo Avatar yako ni noma!
 
NIMEKUSOMA MKUU (NTEMI KAZWILE)! C UNAJUA TENA MAMBO YA SFO
:yield:
 
MAY PEACE BE UPON YOU GREAT THINKERS!
HEBU MTU ALIYEKO DODOMA AMA BUNGENI ATUJUZE HALI YA HUKO IKOJE JAMANI. NIMESIKIA KWENYE RADIO WAKICHAMBUA TASWIRA ZA BUNGENI NA WAKAELEZEA KUA MH. SUGU AMEONEKANA AKITIA SAINI KITABU CHA WABUNGE. BINAFSI NIMEFARIJIKA SANA NA NAOMBA WADUE WENYE HIZO TASWIRA WAZILETE HAPA JAMVINI ASAP.
:peep:

Mr Paulo, ur our lovely JF member, but ur avatar ya CHENGE, i feel nausea, i beg u, ninakuomba mkuu kama utaweza delete huyu fisadi hafai kuwa ur image, he represents -ve pics of our nation, naomba many thanks
 
MKUU (WAMEIBA KURA) USIJALI NI PICHA TU! DO NOT LET YOUR SELF BE PUT OFF BY THIS MERE PICTURE. USIMCHUKIE KIASI CHA KUCHEFULIWA NA PICHA YAKE KWA SABABU HATA SISI TUNAFANYA DHAMBI NYINGI LKN MUNGU HATUONEI KICHEFUCHEFU. HATA SHETANI ALIMCHUKUA YESU AKAMPELEKA JANGWANI ILI AMJARIBU NA YESU HAKUONA KICHEFUCHEFU. BADALA YAKE HII PICHA INATUJAZA MACHUNGU KAMA YA NYONGO ILI TULIKOMBOE TAIFA LETU KUTOKA KWENYE MIKONO YAO. HUU NI UKUMBUSHO WA KILA SIKU KWAMBA TUUNGANE. TANZANIA BILA CHENGE AND HIS LIKES IS POSSIBLE...............
:yield:
 
Back
Top Bottom