Suge Knight : 28 years in prison

Sure asee
Dude suge Na kijana wake
35bc971c019a48e81a0a061c56f6e2aa.jpeg
 
I'm in prison. But my heart and mind is free. Gangsta haters on the streets are
doing more time than me. They need 30 police escorts with them every time they walk down the street.

Suge
 
tofauti ya dre na diddy ni kuwa both dre and puffy ni rappers(selling albums) and producers
suge hana kipaji kingine aidi ya kuwa CEO wa death row,na hela yenyewe ya kuanzisha death row alimpora vanilla ice kwa kumsainisha document at a gun point
akina dre ni magenius kwenye business,suge ni street gangbanger aliyeakimbia professional football
ukweli utabaki ukweli kwamba bila suge knight no dr dre, 2 pac or the west side g funk music jamaa licha ya matatizo yake ila ndio aliofanya music wa 1990 to 1999 kuitwa the golden era na wazungu wenyewe sema alikuwa mtemi saana dr dre and ice cute walikuwa wanataka kutoka kwa eazy E kumbuka suge knight alimwambia asipowaachia atamuuwa akawaachia ndio album ya the chronic ilikuwa life changer ya dr dree
 
Jamaa yangu suge. Kaka mkubwa, tembo, king kong, jail masterpiece.

Anakwambia a lot of people are born male, but am a man. Never play with my money....

Bifu lako na sughe lazma liwe linahusu hela.

Jamaa kagonga watu wawili makusudi na mndinga wake huko states, plea was no contest, ndo hivyo kesi ilisomwa sept 24. Ndo kakabidhiwa iyo miaka 28. Jail Legend. Jail masterpiece it self. Call him Suge
mtaalam suge knight..
 
ukweli utabaki ukweli kwamba bila suge knight no dr dre, 2 pac or the west side g funk music jamaa licha ya matatizo yake ila ndio aliofanya music wa 1990 to 1999 kuitwa the golden era na wazungu wenyewe sema alikuwa mtemi saana dr dre and ice cute walikuwa wanataka kutoka kwa eazy E kumbuka suge knight alimwambia asipowaachia atamuuwa akawaachia ndio album ya the chronic ilikuwa life changer ya dr dree
mkuu kuna vitu nakubaliana ila mengine tutatofautiana
1. si kweli kuwa no suge no 2pac,tupac alikuwa kashatoa album tatu kabla ya kwenda death row na alikuwa maarufu sana tu
2pacalypse now ilikuwa na smash hit brenda's got a baby na trapped
strictly for my n.i.g.g.a.z ilikuwa na hits kama keep ya head up na i get around
me against the world hapa sina la kuongeza,kila mtu anajua dear mama,me against the world,temptation,can u get away
2. west coast ilikuwa inabang kabla ya death row,labda umewasahau NWA
3. golden era rap ililetwa na death row!!!!mkuu ina maana hujui kuwa east coast kulikuwa kunabang?!!!!!!
 
yes nakubaliana na wewe but suge knight ana mchango mkubwa saaana kwa west coast g funk afu jamani naomba niwaeleweshe kwamba puffy daddy ujanja wa biashara ndio umemfikisha hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom