Sugar mummy anavyonipelekesha.

Status
Not open for further replies.

prof.mutunga

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
341
60
Wakuu mie nina 26yrs natoka na mama flani ambaye ana watoto wakubwa,ila hajawahi kunieleza alipo baba yao cha ajabu siku ya kipaimara mie nlisimama kama baba wa watoto wale yani haoni hata aibu japo kunako 6+6 naenjoy,japo naendeshwa kama mtoto!
 
Mazee mie nimechoka na hii aibu naombeni mnishauri vile nimwache maana nkitaka kumwacha roho inauma nalia usiku kucha,plz usirushe jiwe rusha advise.
 
Mbona hukuomba ushauri wakati mnaanza na kama roho inakuuma tukusaidieje ili usilie .We acha tu sugar m ajifugie kambwa kake

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Na ukome..........kuna mwenzako hapahapa jamvini kiliponuka tu, alirushiwa laki 8 kwenye simu akaambiwa na afya si kitu tena!!
 
Dah ukitaka kumuacha unalia! kweli sugar mummy si mchezo,tafuta mwanamke saizi yako.
 
Wakuu mie nina 26yrs natoka na mama flani ambaye ana watoto wakubwa,ila hajawahi kunieleza alipo baba yao cha ajabu siku ya kipaimara mie nlisimama kama baba wa watoto wale yani haoni hata aibu japo kunako 6+6 naenjoy,japo naendeshwa kama mtoto!
Endelea kulia tu kwani nini!!!!!!
 
Jidunge sindano ya ganzi rohoni halafu achana nae. Wengine mnatafuta laana tu.
 
Wakuu mie nina 26yrs natoka na mama flani ambaye ana watoto wakubwa,ila hajawahi kunieleza alipo baba yao cha ajabu siku ya kipaimara mie nlisimama kama baba wa watoto wale yani haoni hata aibu japo kunako 6+6 naenjoy,japo naendeshwa kama mtoto!

kwan sh. ngapi kumwacha au hata kuacha kulia, wewe unataka sh. ngapi?
 
kaka Majimama ndo mpango mzima we VUMILIA tu, kwani kugombezwa/kupelekeshwa kitu gani? mi naliwa KABANG na jibaba mwenye ndoa yake na napigwa makofi kila akilewa na naona poa tu, la maana ananilea na kunipa hela ya matumizi sembuse wewe na JIMAMA?we vipiiiiii??
 
Watu wengine bwana! Mnapata bahati ya kulelewa then mnaleta pozi. Acha uoga kijana, nyonga beat mwanzo mwisho. Wengine tunazitafuta hizo bahati.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom