Sudani Kusini ni kielelezo Siasa za Afrika ….

Ambiente Guru

JF-Expert Member
May 21, 2012
2,391
2,000

Jeshi la Serikali linajiandaa kwa mashambulizi makubwa dhidi ya ngome ya waasi iliyoko Bor.

Tayari vita hii imezalisha maelfu ya wakimbizi wa ndani.Sudani kusini, Mali na Afrika ya Kati ni viashirio vya ukweli kuwa Africa itaendelea kuogelea kwenye dimbwi la matope na maji taka ya mfumo mbovu wa siasa, na ukosefu wa amani. Viongozi wa afrika wanaendeleza ubinafsi na uchu wa madaraka wakiweka maisha ya raia hatarini.
 

Attachments

  • Giza.jpg
    File size
    21.5 KB
    Views
    49

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom