SUDANI KUSINI: Kiir & Machar wakubaliana kuunda Serikaliya mpito ifikapo Novemba 12

Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Messages
6,259
Points
2,000
Kurzweil

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined May 25, 2011
6,259 2,000
world02pix-jpg.1204592

Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir na Kiongozi wa Kikundi cha Waasi Riek Machar wamefikia makubaliano hayo katika kikao walichokutana

Ni nadra sana kwa viongozi hao wanaovutana kufanya kikao cha pamoja kwa ajili ya kujadili hali ya kisiasa ya nchi hiyo

Riek Machar ameingia nchini Sudan Kusini baada ya kuwa uhamishoni Jijini Khartoum Sudan kwa muda wa mwaka mmoja

Viongozi hao wanatuhumiwa kwa kuliingiza taifa hilo changa katika machafuko ya kikabila kuanzia mwaka 2013

Sudan Kusini ni Taifa lililozaliwa mwaka 2011 baada ya kujitenga kutoka Jamhuri ya Sudan

=======

South Sudan's President Salva Kiir and rebel leader Riek Machar on Wednesday vowed to stick to a November deadline for creating a long-delayed power-sharing government, during a rare meeting in the capital Juba.

Machar wrapped up a three-day visit to South Sudan -- his first in a year from exile in Khartoum -- where he and Kiir tried to salvage a peace agreement that has stalled on several key fronts.

"The parties agreed to establish the government in time. When I said in time it means on the 12th of November," government spokesman Michael Makuei told journalists after the meeting.

Observers say a political deal between the historical rivals is the only way to move forward with the 2018 peace deal that has become stuck on key issues of security, and internal state boundaries.

The two men, whose enmity plunged the country into war in 2013 only two years after a hard-won independence that has been marked by ethnic brutality and humanitarian suffering, agreed to hold further meetings soon.

"I told you earlier on that talks between us are going well. And we will reach a deal soon," Kiir said after the meeting, exchanging handshakes with Machar.

-Daily Monitor-
 
Kudasai

Kudasai

Senior Member
Joined
Jan 1, 2016
Messages
119
Points
225
Kudasai

Kudasai

Senior Member
Joined Jan 1, 2016
119 225
Ulafi wa madaraka unatuathiri sana Africans...... Ni taifa changa bado lina safari ndefu sana
 
Capastor

Capastor

Member
Joined
Jul 15, 2019
Messages
12
Points
45
Capastor

Capastor

Member
Joined Jul 15, 2019
12 45
Ulafi wa madaraka unatuathiri sana Africans...... Ni taifa changa bado lina safari ndefu sana
yaan we acha tu Africa ukixkia migogoro bac kugombania nafac ya uongoz cjui hawa viongoz wetu hawajui kushirkiana na kujenga taifa moja

Apo mtu anaeza fikr kwamba hawapo ktka kujenga uchum ya nch bal uchum binafc
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
32,471
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
32,471 2,000
Hawachelewi kugeukana na kuingia msituni...

Ngoja tuone...

Cc: mahondaw
 
Dalalims

Dalalims

Senior Member
Joined
Apr 6, 2019
Messages
167
Points
250
Dalalims

Dalalims

Senior Member
Joined Apr 6, 2019
167 250

Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir na Kiongozi wa Kikundi cha Waasi Riek Machar wamefikia makubaliano hayo katika kikao walichokutana

Ni nadra sana kwa viongozi hao wanaovutana kufanya kikao cha pamoja kwa ajili ya kujadili hali ya kisiasa ya nchi hiyo

Riek Machar ameingia nchini Sudan Kusini baada ya kuwa uhamishoni Jijini Khartoum Sudan kwa muda wa mwaka mmoja

Viongozi hao wanatuhumiwa kwa kuliingiza taifa hilo changa katika machafuko ya kikabila kuanzia mwaka 2013

Sudan Kusini ni Taifa lililozaliwa mwaka 2011 baada ya kujitenga kutoka Jamhuri ya Sudan

=======

South Sudan's President Salva Kiir and rebel leader Riek Machar on Wednesday vowed to stick to a November deadline for creating a long-delayed power-sharing government, during a rare meeting in the capital Juba.

Machar wrapped up a three-day visit to South Sudan -- his first in a year from exile in Khartoum -- where he and Kiir tried to salvage a peace agreement that has stalled on several key fronts.

"The parties agreed to establish the government in time. When I said in time it means on the 12th of November," government spokesman Michael Makuei told journalists after the meeting.

Observers say a political deal between the historical rivals is the only way to move forward with the 2018 peace deal that has become stuck on key issues of security, and internal state boundaries.

The two men, whose enmity plunged the country into war in 2013 only two years after a hard-won independence that has been marked by ethnic brutality and humanitarian suffering, agreed to hold further meetings soon.

"I told you earlier on that talks between us are going well. And we will reach a deal soon," Kiir said after the meeting, exchanging handshakes with Machar.

-Daily Monitor-
HAWA NAO HAWAKUTAKIWA KUJITAWALA ILIKUWA BADO SANA. NI KUUWANA TUUU!!! DAH
 
Forum statistics

Threads 1,335,190
Members 512,261
Posts 32,498,495
Top