Sudan: Wananchi waandamana kupinga Makubaliano yaliyomrejesha Hamdok madarakani

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Maelfu ya watu wameandamana katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum pamoja na Miji mingine. Vikosi vya Usalama vimetumia mabomu ya machozi dhidi ya Waandamanaji katika Mji wa Omdurman.

Wananchi walikusanyika kutoa heshima kwa waliouawa na Vikosi vya Usalama. Pia, wamepinga Makubaliano yaliyomrejesha Madarakani Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok.

Baadhi wamesema ni usaliti huku wengine wakisema imetoa upenyo wa kufunika Mapinduzi ya Kijeshi yaliyofanyika.
===

Thousands of people in the Sudanese capital, Khartoum, and other cities have held protests to keep up the pressure on the country's military leaders.

In the capital's twin city of Omdurman, security forces fired tear gas at demonstrators opposed to last month's coup.

They had rallied to pay tribute to dozens of colleagues killed by Sudanese security forces in recent weeks.

They also denounced a recent deal with the military that saw Prime Minister Abdalla Hamdok reinstated to his post.

Prominent political parties and Sudan's powerful protest movement have opposed Mr Hamdok's decision to sign the accord with the military.

Some have called it a betrayal or said it provided political cover for the coup.

Source: BBC
 
Yan aliyeharibu nchi n Yule kiongoz wa jesh aliyepindua serekali ya wazir mkuu pia wananch wanajua wazir mkuu amerudishwa lakin atakuwa kivuli tu haijulikan waliingia makubaliano gan na jesh, jesh kaz yake ibak kuilinda mipaka tu s siasa
 
Back
Top Bottom