Sudan: Shambulio lapelekea watu zaidi ya 60 kufariki dunia na wengine kujeruhiwa

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,384
2,000
Watu zaidi ya 60 wamepoteza maisha na wengine 60 kujeruhiwa baada ya kundi la watu takriban 500 waliokuwa na silaha kushambulia Mji wa Masteri uliopo Darfur

Taarifa iliyotolewa na Umoja wa Mataifa (UN) imesema huu ni mwendelezo wa vurugu ambazo zimepelekea vijiji na nyumba kuchomwa moto, maduka na masoko kuporwa mali huku miundombinu kuharibiwa

Wananchi wapatao 500 wameandamana kushinikiza Mamlaka kuwalinda. Wanachama wa jamii ya Masalit ambao UN imedai walikuwa walengwa wa shambulio hilo wamesema hawatozika miili ya Marehemu hadi Serikali itakapochukua hatua

Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok amesema Serikali itapeleka vikosi vya ulinzi katika Mkoa huo ili kulinda wananchi na msimu wa kilimo

===

More than 60 people have been killed and another 60 wounded in fresh violence in the West Darfur region of Sudan, UN officials announced Sunday.

Around 500 armed men attacked Masteri Town, north of Beida, in Darfur on Saturday afternoon, said the statement from the UN Office for the Coordination of Humanitarian Affairs (OCHA).

The attackers targeted members of the local Masalit community, looting and burning houses and part of the local market, the statement added.

"This was one of the latest of a series of security incidents reported over the last week that left several villages and houses burned, markets and shops looted, and infrastructure damaged," said the statement, from the OCHA's Khartoum office.

Following Saturday's attack on Masteri, around 500 local people staged a protest demanding more protection from the authorities.

Members of the Masalit community said they would not bury their dead until the authorities took action, said the OCHA.

On Sunday, Sudan's Prime Minister Abdalla Hamdok said the government would send security forces to the conflict-stricken region to "protect citizens and the farming season".

His announcement came two days after gunmen in the region killed at least 20 civilians, including children, as they returned to their fields for the first time in years, the latest in a string of violent incidents.

The recent killings have targeted the African farming tribes in conflict with the nomadic Arab tribes over the land.

"The escalation of violence in different parts of Darfur region is leading to increased displacement, compromising the agricultural season, causing loss of lives and livelihoods and driving growing humanitarian needs," said the OCHA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom