mulanKE
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 402
- 284
Cheap propaganda talk with facts .Just compare JWTZ and KDF which side has recorded big number of casualities than the otherWakati tunaondoa jeshi letu la KDF huko, Wabongo walijazana humu JF wakikejeli na kusema waende wao, kwamba JWTZ ndio watawapa kichapo Wasudan. Ulimbukeni wa hali ya juu, walisahau hili tukio la wanajeshi wao saba kuuawa huko Darfur.
Mkanganyiko wa pale Sudan Kusini na Kaskazini sio jambo la kukurupukia ovyo, kuna mambo mengi yanaingiliana.
Cheap propaganda talk with facts .Just compare JWTZ and KDF which side has recorded big number of casualities than the other
Nani limbukeni?? Yaani vile ulipost picha zako humu nilikudharau rasmi, kwa ufupi wewe ni mshamba tu,Ulimbukeni wa wabongo haunakifani! Hivi hawaelewi tufauti za kivita! Hawa wanajua lolote juu ya Gorilla warfare kweli??
Wakati tunaondoa jeshi letu la KDF huko, Wabongo walijazana humu JF wakikejeli na kusema waende wao, kwamba JWTZ ndio watawapa kichapo Wasudan. Ulimbukeni wa hali ya juu, walisahau hili tukio la wanajeshi wao saba kuuawa huko Darfur.
Mkanganyiko wa pale Sudan Kusini na Kaskazini sio jambo la kukurupukia ovyo, kuna mambo mengi yanaingiliana.
Yani, historian ni shida sana kwenu, tumepambana gorilla warfare many time over na kote huko tunaacha functional & stable government. Let me not say much historia ipo na inajieleza.Ulimbukeni wa wabongo haunakifani! Hivi hawaelewi tufauti za kivita! Hawa wanajua lolote juu ya Gorilla warfare kweli??
Huo ni mgongo tu umekauka. It has nothing to do with tactical battle training and equipment.
Nani limbukeni?? Yaani vile ulipost picha zako humu nilikudharau rasmi, kwa ufupi wewe ni mshamba tu,
Wewe hauna lolote kama sio hilo jina mshamba, hujajua mshamba mwenyewe ni wewe! tafuta la pili man! Utashinda hilo tu??Nani limbukeni?? Yaani vile ulipost picha zako humu nilikudharau rasmi, kwa ufupi wewe ni mshamba tu,