Sudan: Questions Raised Over Tanzanian Peacekeepers in Darfur - allAfrica.com

Wakati tunaondoa jeshi letu la KDF huko, Wabongo walijazana humu JF wakikejeli na kusema waende wao, kwamba JWTZ ndio watawapa kichapo Wasudan. Ulimbukeni wa hali ya juu, walisahau hili tukio la wanajeshi wao saba kuuawa huko Darfur.
Mkanganyiko wa pale Sudan Kusini na Kaskazini sio jambo la kukurupukia ovyo, kuna mambo mengi yanaingiliana.
braza, usipoteze muda kushindana na sisi. huko sudan hao tunaowapeleka asilimia kubwa ni askari polisi hawa wa kawaida, sio wanajeshi. wanajeshi ni wale tuliopeleka congo. upo hapo. hata hivyo, askari polisi wa tz ni sawa na askari jeshi wa kenya, hivyo hatutakiwi kujibizana ktk hili, liko wazi.
 
Kwani kuna shida gani akizipost?...si ni zake?...ewe zumbekuku!...weye ni takataka tu hamna anayeitaj heshima zako...unajikweza utadhani Bill Gates, Una uhuru wa kuzipost zako pia, ama ni wale sura kama kiatu?:D:D
Machungu.
 
Haya mambo hufanywa na madogo kitaa, sio vitu vya kuwababaisha wale watoto wa shetwan al mujahedin. Mjaribu kuwabeep siku moja halafu waiwaze Bongo, mtahama nchi. Pale msitu wa Amboni mlihangaishwa na wavuta bangi watoto wa kitaa ambao wanajifunza ugaidi, mkishukiwa na almujahedin wenyewe mtakimbia kama mlivyoikimbia Dar kipindi cha watoto wa panya road.

Mambo ya misumari ni ya kawaida kitaa hufanywa na madogo.....

8.JPG
Wale madogo wa Amboni ilshabaki story bro, the no more untold story, kizazi kilifutiliwa mbali.
 
Haya mambo hufanywa na madogo kitaa, sio vitu vya kuwababaisha wale watoto wa shetwan al mujahedin. Mjaribu kuwabeep siku moja halafu waiwaze Bongo, mtahama nchi. Pale msitu wa Amboni mlihangaishwa na wavuta bangi watoto wa kitaa ambao wanajifunza ugaidi, mkishukiwa na almujahedin wenyewe mtakimbia kama mlivyoikimbia Dar kipindi cha watoto wa panya road.

Mambo ya misumari ni ya kawaida kitaa hufanywa na madogo.....

8.JPG
Unajua dogo kaweka nini matokoni arafu uzito wa dogo ni mdogo sasa cheki jwtz mgongo upowazi na nimtu mzima na mwingine mwenye uzito wa kilo kama 100 juu yake nadhani ulikimbia shule
 
kuna tetesi jwtz wanajaribu kuupeleka ule ubakaji wao waliozoea kuwafanyia banya mulenge huko congo ila hali si nzuri huko sudani imebidi waanze kuingiliana wao kwa wao! kwa kweli jwtz ni aibu africa yetu
Are you really sane?????????
 
Unajua dogo kaweka nini matokoni arafu uzito wa dogo ni mdogo sasa cheki jwtz mgongo upowazi na nimtu mzima na mwingine mwenye uzito wa kilo kama 100 juu yake nadhani ulikimbia shule

misumari ya JWTZ unajuaje sio ya plastiki~~~~~~~~~~~~~:eek:
 
Wakati tunaondoa jeshi letu la KDF huko, Wabongo walijazana humu JF wakikejeli na kusema waende wao, kwamba JWTZ ndio watawapa kichapo Wasudan. Ulimbukeni wa hali ya juu, walisahau hili tukio la wanajeshi wao saba kuuawa huko Darfur.
Mkanganyiko wa pale Sudan Kusini na Kaskazini sio jambo la kukurupukia ovyo, kuna mambo mengi yanaingiliana.

Peace keepers wana limitation ya silaha. TZ kama sikosei haipeleki JWTZ tu kule Darfur. Kwa hiyo siajabu matukio haya yasihusike na vikosi vya TPDF.

Nikikosea nisahiishwe.
 
Ulimbukeni wa wabongo haunakifani! Hivi hawaelewi tufauti za kivita! Hawa wanajua lolote juu ya Gorilla warfare kweli??
Huna exposure acha mada hii wenzio wanachambua we unaongea kishabiki, soma tu sio lazima uandike, shame on you,,,,,
 
Najua Wakenya inawauma sana kutimuliwa kwenye huu mpango wa umoja wa mataifa wa UNAMID ndio hivyo mtulie acheni wanaokubalika kimataifa wafanye kazi na wavute madollar yao. Acheni chokochoko
 
Haya mambo hufanywa na madogo kitaa, sio vitu vya kuwababaisha wale watoto wa shetwan al mujahedin. Mjaribu kuwabeep siku moja halafu waiwaze Bongo, mtahama nchi. Pale msitu wa Amboni mlihangaishwa na wavuta bangi watoto wa kitaa ambao wanajifunza ugaidi, mkishukiwa na almujahedin wenyewe mtakimbia kama mlivyoikimbia Dar kipindi cha watoto wa panya road.

Mambo ya misumari ni ya kawaida kitaa hufanywa na madogo.....

8.JPG
Sasa si muendelee kushindana nao hao AL shabab mtie akili,,,,, mlishindwa mbinu za medani kubadilishana vikosi uwanja wa vita mkapigwa deliberate attack na mgambo hao bado mna ujasiri wa kujigamba kweli nyie shida kubwa,. Hao Burundi na Uganda hawajafanyiwa huo ujinga na wapo kimya ila nyie tu majigambo tu, mkiambiwa ukweli eti ni magaidi wa kujitoa mhanga sasa nani asiejua? Kaeni kimya mana mtakumbusha na hiyo vamizi la Westgate mlivowadharau police force hafu nyie KDF ndio mkaharibu ops nzima,,,,,, mnatia aibu badala ya kuonekana mna nguvu East Africa nzima mko nyuma....... Kaeni kimya mambo yaende.....
 
Unajua dogo kaweka nini matokoni arafu uzito wa dogo ni mdogo sasa cheki jwtz mgongo upowazi na nimtu mzima na mwingine mwenye uzito wa kilo kama 100 juu yake nadhani ulikimbia shule

Hizi ni mbwembwe za kawaida kitaa, vinafanywa na vijana wa mitaani.
Vita vya kisasa vinataka akili sio kupasua pasua matofali na kulalia misumali. Aljamuhedin wa kidini wakija kujilipua karibu nawe hutakua na fursa ya kuonyesha mbwembwe hizo.

10.JPG

33883.jpg

img_3865.jpg
 
Hizi ni mbwembwe za kawaida kitaa, vinafanywa na vijana wa mitaani.
Vita vya kisasa vinataka akili sio kupasua pasua matofali na kulalia misumali. Aljamuhedin wa kidini wakija kujilipua karibu nawe hutakua na fursa ya kuonyesha mbwembwe hizo.

Dah MK254 vipi? Unafikiri mwanajeshi akikamatwa mateka vitani analetewa chai na kupewa kitanda kizuri alale, shuruba kama hiyo ya kukalia misomari na kung'olewa kucha na meno bila ganzi vinatumika. Tena na wale walio mteka hawafikirii mara mbili, wanang'owa tuu. Kawaulize KDF kama na wao hawafanyi mazoezi kama hayo.
 
Mzani/ mizani ya wiki na Azam ni ya kipuuzi kabisa kwa maana ya kwa ili ujue kupi kuna uzito lazima uweke vitu vyote viwili ili uvilinganishe. Nimemsikia Dr. na mtataro. wachawi wakubwa wa maendeleo ya nchi hii. Halafu Dr.? Kumbe ukisoma halafu ujiigiza kweyu siasa unaku mjinga!!!!
 
Hawa wakenya humu JF nimegundua hawana exposure. Ni malimbukeni fulani. Ninafurahi kuona watanzania wanawashushua hadi aibu.
 
Back
Top Bottom