Sudan: Mapigano ya kikabila yapelekea vifo vya watu zaidi ya 80

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Madaktari katika Jimbo la Darfur wanasema zaidi ya watu 80 wamepoteza maisha na mamia kujeruhiwa ndani ya siku mbili kufuatia mapigano baina ya makundi ya kikabila yaliyotokea eneo la El Geneina

Mapigano hayo yametajwa kuwa makubwa zaidi tangu kusainiwa makubaliano ya amani mwezi Oktoba ambayo yalitarajiwa kumaliza migogoro katika ukanda huo. Serikali ya Sudan imesema Vikosi vya Usalama vinaelekezwa katika eneo hilo ili kulinda Wananchi

=====

Doctors in Sudan say more than 80 people have been killed in two days of fighting between rival ethnic groups in the Darfur region.

Hundreds more have been injured during the unrest in El Geneina.

A nearby camp for displaced people was also attacked during the worst violence since a peace deal was signed last October.

International peacekeepers began a phased withdrawal from Darfur earlier this month.

Reports say the violence began when an Arab man was stabbed to death by a man from a non- Arab group, leading to an exchange of gunfire.

Sudan's government is sending reinforcements to the area to protect civilians.
 
Chuki za kikabila huwa ni mbaya sana. Wangejifunza kitu toka kwa Wahutu na Watusi. Ni waafrica wenzetu hawa, kuna haja ya kupeleka Majeshi ya kulinda amani yakaokoe jahazi.
 
Hapo Darfur si waliisema wanaondoa vikosi vya kulinda amani sababu hali imetengemaa.. itabidi waairishe kwa mda.
 
Back
Top Bottom