Sudan kuwa mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sudan kuwa mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mdau wetu, Nov 30, 2011.

 1. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tangu kuanza tena mchakato wa Jumuiya ya Afrika Mashariki mengi yamejitokeza yakiwemo ya kuongezeka Rwanda na Burundi katika jumuiya hiyo. Sasa kuna maombi ya Sudan yako mezani yakisubiriwa kukubaliwa au kukataliwa uanachama katika Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC. Kikao cha kujadili hilo na mengineyo kimeanza leo Bujumbura, Burundi. Kuongezeka wanachama hata ambao kijigrafia hawako Afrika Mashariki kutakuwa na maana gani? manake naona sasa imekuwa jumuiya ya Afrika Mashariki, kati na.... mchango wenu wadau.
   
 2. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ilishakataliwa kipindi kirefu, kwa sababu zifuatazo:
  Kwanza haipakani na mwanachama yeyote wa EAC,
  Pia inatakiwa iwe nchi isiyo na utegemezi ktk dini.
   
Loading...