Sudan Kusini yaomba msaada kwa Tanzania

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,222
1,670
Serikali ya Sudan Kusini imeiomba Tanzania kufanikisha makubaliano ya amani yaliyotiwa saini kati ya pande zinazohasimiana hasa wakati huu ambapo taifa hilo likijipambanua upya kwa kusaka fursa za kiuchumi katika eneo la Afrika mashariki.

Chanzo: DW
 
Kwa nini wasimuombe mwenyekiti wa EAC badala yake Tanzania?
 
Back
Top Bottom