Sudan Kusini: Wajumbe wa Mkutano wa Kitaifa wapendekeza kuwepo mamlaka ya kumshtaki Rais na Makamu wa Rais

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Katika mkutano wa Kitaifa uliomalizika hivi karibuni, Wajumbe wamependekeza Mabunge yote mawili nchini humo kuwa na mamlaka ya kuwashtaki Rais na Makamu wake

Vilevile wameshauri ukomo wa mihula miwili ya miaka mitano kwa Rais na uhamishaji wa madaraka kwa amani kupitia Chaguzi huru wakitaka waasi wasipewe Uongozi Serikalini

Akifunga mkutano huo, Rais Salva Kiir amesema mapendekezo hayo yanatakiwa kutumika kama mwongozo kwenye mchakato wa kutengeneza Katiba

=====

Delegates to the just-concluded South Sudan's national dialogue conference have recommended that the two parliaments should have powers to impeach the president and vice-president.

The forum also recommended a two five-year term limit for the president and a peaceful transfer of power through timely, free and fair elections.

They also want rebels not to be rewarded with government positions.

Some of recommendations have been described as controversial.

“Even if the recommendations of this conference are so controversial, please implement them,” Mr Angelo Beda, the co-chair of the conference, told President Salva Kiir during the closing of the event on Tuesday.

President Kiir said the recommendations should serve as “guidelines” to the constitution-making process.

“Despite its popular legitimacy, therefore, we should not attempt to replace the agreement with the consensus reached through the national dialogue,” President Kiir told the delegates as he closed the conference.
 
Back
Top Bottom