Sudan Kusini: Idadi ya waliofariki kwenye mapigano baina ya raia na Wanajeshi yafikia 127

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Watu 127 wamefariki dunia katika mapigano yaliyotokea baina ya Wanajeshi na wananchi wenye silaha wakati wa zoezi la kuzichukua

Taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Sudan Kusini, Lul Ruai Koang imesema miongoni mwa waliopoteza maisha ni wananchi 82 na Wanajeshi 45

Awali, Umoja wa Mataifa (UN) ulisema waliofariki katika mapigano hayo yaliyotokea Jumapili ni 70 lakini idadi hiyo imeongezeka hadi sasa

Mwezi uliopita, Rais Salva Kiir aliagiza silaha zinazomilikiwa na wananchi kuchukuliwa ikiwa ni harakati ya kusaidia kumaliza vita ya wenyewe kwa wenyewe

===

The death toll from clashes between South Sudan security forces and armed civilians in the north-central Warrap state has risen to 127.

At least 32 others were injured over the weekend when soldiers clashed with civilians refusing to be disarmed as part of a peace agreement.

Among the dead are 82 civilians and 45 soldiers, army spokesman Lul Ruai Koang said in a statement.

The death toll has risen sharply since Tuesday, when the United Nations placed the number of dead at about 70.

Clashes erupted on Sunday when soldiers of the South Sudan People's Defence Force tried to disarm civilians in the town of Tonj as part of a recent peace agreement, according to James Mabior, the town's councillor.

Some civilians refused to hand over their guns at a market, with a number of bystanders joining the fight that ensued, Mabior said.

The fighting quickly spread to nearby villages, with armed civilians attacking an army base in the nearby town of Romic on Monday morning, Koang said.

The disarmament of civilians is part of a peace agreement signed between South Sudanese President Salva Kiir and opposition leader Riek Machar in February after many months of negotiations.

Kiir and Machar agreed to form a government of national unity in which both hold key leadership positions.

So far, a partial unity government has been formed and state governors have been appointed
but parliament has yet to be reconstituted.
 
Bongo mkikutana baa mnaweka simu mezani, Samsung, iphone, p40, Tecno n.k. wanaume hao wakifika baa mezani kila mtu anaweka silaha mezani...moresby, 9mm, Ak47

Everyday is Saturday........................ :cool:
 
bora wakae na silaha zao,weshashtukia mchezo mchafu wa serikali zetu,wanaona jinsi nchi nyingine wanavyopelekeshwa na serikali zao
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom