Such a wonderful lady, My @bbade

Nipo aunt wajua tena majukumu saa nyingine yanasababisha simu iishie kukaa ndani ya pochi kutwa pasi kuguswa labda iite. 😂😂😂

Nimefurahi kukuona aunt ukimuona Da espy msalimie.
Nipo mama, hope u bukheri wa afya.
 
hongereni sana,kumbe picha mnatumia kwenye avatar zenu ni nyinyi wenyewe?
Nakutakia heri na fanaka shem kwenye mahusiano Na my sister
Na ikawe heri kwenu
Mr Miller na bbade nawatakia mafanikio mema katika ulimwengu wa huba
Maisha matamu vibaya mno, ukiwa kwenye anga hii....acha wale vyao bhana.

Kila la kheri...
I’m jealous, kidding. All the best guys.
thank you guys!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom