Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,172
- 34,277
me naendasiende kokote
me naendasiende kokote
usigeuke nyuma beba na vitu vyakome naenda
hayausigeuke nyuma beba na vitu vyako
unaenda wapi??haya
Mie Alhamdulillah Dada. Mmekumiss tu.Nipo mama, hope u bukheri wa afya.
Becky ndio umeamka?
Sio Siku yangu mbona?
Hapana mpenzi....sio bday yangu mbona...hahaa haya bwana,naona nimechelewa,nilishakuwish lakini..
huko ulikonambia nibebe na nguo kabisaunaenda wapi??
rudi hapa muone vilehuko ulikonambia nibebe na nguo kabisa
HahahahahahaHahahahahaaa..sio wao
Ngoja nimwite NeiTusiseme yaliyo mengi hapa.
abeerudi hapa muone vile
hongereni sana,kumbe picha mnatumia kwenye avatar zenu ni nyinyi wenyewe?
Nakutakia heri na fanaka shem kwenye mahusiano Na my sister
Na ikawe heri kwenu
Maisha matamu vibaya mno, ukiwa kwenye anga hii....acha wale vyao bhana.
Kila la kheri...
thank you guys!I’m jealous, kidding. All the best guys.