kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,419
- 1,981
salam nyingi wakubwa,
Naombeni msaada wenu kama kuna media player inayotoa subtitle kwa movies maana nakosa utamu wa movies ambazo hazijachezwa kwa lugha ya kiingereza. Mfano hapa nime-download Slumdog Millionaire lakini wanaongea kihindi na mimi mtupu kwa lugha hiyo. Kama kuna namna ya kupata media player/namna yoyote ya kutoa subtitle ili kuelewa kinachozungumzwa ingetusaidia sana sisi wenye hili tatizo. Ntafurahi sana nikipata somo toka kwenu kwani utamu wooooote wa hiyo movie unanipita hivihivi yaani dah!
Natanguliza shukrani zangu.