Subtitle katika movie

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,419
1,981
salam nyingi wakubwa,
Naombeni msaada wenu kama kuna media player inayotoa subtitle kwa movies maana nakosa utamu wa movies ambazo hazijachezwa kwa lugha ya kiingereza. Mfano hapa nime-download Slumdog Millionaire lakini wanaongea kihindi na mimi mtupu kwa lugha hiyo. Kama kuna namna ya kupata media player/namna yoyote ya kutoa subtitle ili kuelewa kinachozungumzwa ingetusaidia sana sisi wenye hili tatizo. Ntafurahi sana nikipata somo toka kwenu kwani utamu wooooote wa hiyo movie unanipita hivihivi yaani dah!
Natanguliza shukrani zangu.
 
Kuona subtitles sio tu unahitaji medi player inayoweza kuonyesha subtitles bali pia unahitaji subtitles zenyewe. Nenda Subscene - International Subtitles for Films and TV Series kutafuta subtitles, chagua sub inayofanana na video yako, download kisha unzip.
VLC inaweza kuonyesha subtitles right click kwenye video inayocheza kisha nenda video -> Subtitle track -> Open file. Kisha chagua file uliyodownload kutoka subscene.
 
nimeshndwa jinsi ya kui unzip unafanyaje?
 
Wakubwa anaejua jinsi ya ku-unzip hilo file amwage darasa basi naumbuka mwenzenu, kudownload nimeweza tatizo ku-unzip sasa
 
Right click tafuta option ya ku extract au unzip. Kama hakuna download 7 Zip 7-Zip kisha install sasa ukiright click kutakuwa na option ya 7 zip ambayo ina extract.
 
Wakubwa anaejua jinsi ya ku-unzip hilo file amwage darasa basi naumbuka mwenzenu, kudownload nimeweza tatizo ku-unzip sasa
Mkuu dont underestimate the power of google.

Anyway, unatakiwa kudownlod na kuinstall software ya kufanya hiyo kazi ya ku unzip
Binafsi natumia WinRAR, pakuwa hapa Download WinRAR free.
Hiyo ni trial ukiipenda kaitafute torrents site
Baada ya kudownload na kuinstall nenda kwenye faili lako then right click kisha chagua extract, you're done
 
nimeshndwa jinsi ya kui unzip unafanyaje?
Kuona subtitles sio tu unahitaji medi player inayoweza kuonyesha subtitles bali pia unahitaji subtitles zenyewe. Nenda Subscene - International Subtitles for Films and TV Series kutafuta subtitles, chagua sub inayofanana na video yako, download kisha unzip. VLC inaweza kuonyesha subtitles right click kwenye video inayocheza kisha nenda video -> Subtitle track -> Open file. Kisha chagua file uliyodownload kutoka subscene.
Nanikitaka kuwaka kw cd ilinizianga lie film kwa subtitle ni nayo taka
 
download software ya bure inaitwa sublight,ni rahisi kitumia,uwe na vlc pia....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom