Subhash Patel ni nani ?!

Komaa mkuu unaweza ukatoboa,Kama yeye
Ila tambua kwamba yeye ni mhindi Hawa jamaa kwenye biashara ni kama wana vipaji halafu wanakuwa kifamilia zaidi hawahangaiki Kama alivyotwiti mshakaji flani anaitwa togolani huko Twitter
Kasoma field kana yangu. Ngoja nikomae, niwe na maisha mazuri.
 
Ni mfadhili wa miradi mingi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa shule ya sekondari ya Chifu Ihunyo Musoma vijijiji (Jimboni kwa Mhe. Nimrod Mkono) sambamaba na Bw. Jeetu Patel wa Noble Azan Investments, yeye ndie aliyefadhiri misumari, nondo na mabati yote.
Aaah . . . . .kumbe ndiyo hawa makabaila eeh . . .
 
Hii nchi viongozi wetu wezi sana na izi pesa wanazoiba wamezificha kwa hawa wahindi wao wanakula percent zao mdogo mdogo....
 
Aliyekanwa ni mtoto wa kaka yake nafkiri mwanaye ndiye aliyekuwa akiongoza makampuni wakati mzee yuko very sick...pia ameumwa muda mrefu ni kansa ya sikio nasikia
 
Jamaa alitumia vizur elimu yake kua karibu na JK

Sio kutumia elimu kuwa karibu na JK bali hawa ni jamaa wakushibana kwasababu wamekuwa wote tangu utotoni kwakuwa Subhash ni mzawa wa Pwani, amesoma shule ya awali na Kikwete na pía ukubwani wameendelea kudumisha u-family friends

Hvyo familia hizi mbili za Mh JK na Patel wamekuwa wakisaidiana ktk mambo mbalimbali toka enzi na enzi kabla hata JK hajawa Rais

Historia hii niliisikia ktk risala ya Marehemu pía Ridhiwani alikazia ktk moja ya mahojiano na chombo fulani cha habari wkt wa msiba
 
Shubash alifanikiwa kuitekeleza elimu yake kwa vitendo. Pumzika kwa amani.
 
Sio kutumia elimu kuwa karibu na JK bali hawa ni jamaa wakushibana kwasababu wamekuwa wote tangu utotoni kwakuwa Subhash ni mzawa wa Pwani, amesoma shule ya awali na Kikwete na pía ukubwani wameendelea kudumisha u-family friends

Hvyo familia hizi mbili za Mh JK na Patel wamekuwa wakisaidiana ktk mambo mbalimbali toka enzi na enzi kabla hata JK hajawa Rais

Historia hii niliisikia ktk risala ya Marehemu pía Ridhiwani alikazia ktk moja ya mahojiano na chombo fulani cha habari wkt wa msiba
Kweli utajiri na una njia zake
 
Back
Top Bottom