Subash Patel: Wafanyabiashara na wenye viwanda tunamuunga mkono Rais Magufuli anayetupeleka kwenye uchumi wa kati

Ulitaka na huyu subash atekwe au apewe kesi za uhujumu? Amejua kucheza mziki uliopo, ni kusifu na kuabudu tu.
 
Kumbuka kampuni yake ya ujenzi imekula Bingo kujemga barabara ya UBUNGO to Kibaha njia 6
Kama ina uwezo hakuna shida. Kwani we huwezi kuajiri mtaalam wa IT ofisini kwako wakati una shida na mtaalam kisa ni mtoto wa dada ako wakati uwezo anao?
 
Mwenyekiti wa chama cha wenye viwanda ( CTI) Subash Patel amesema wao wanamuunga mkono mh Rais Magufuli katika jitihada zake za kutupeleka kwenye uchumi wa kati.

Subash amesema hayo mbele ya waziri mkuu na kwamba wenye viwanda watahakikisha adhma hiyo ya Rais Magufuli kama ilivyoainishwa kwenye Ilani ya CCM inatekelezwa na malengo kufikiwa.

Source ITV habari!
Mbona hauweki namba za simu? Teuzi zitakupita
 
Back
Top Bottom