Brain Hacker Member Apr 12, 2016 23 11 Sep 18, 2018 #1 habari wakuu kwa mwenye ufahamu zaidi kuhusu Subaru R1 naomba kujuzwa, mazuri na mabaya ya hii gari