Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

Yani mabenchi kabisa kama ya shule ya kata. Btw Rav 4 kilitime kurudi nyuma haziko comfortable nisamehe bure kwakweli. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Nakubaliana nawewe kabisa, nilipata lift kwenye Rav 4 kilitime zile siti za nyuma zinabana balaa kama mtu una miguu mirefu lazima ukae upandeupande
 
Niliwahi kuwa na b4,forester inakula kidogo zaidi,nadhani uzito unachangia au chasis,kwanza b4 uliyonayo ni ipi?subaru za 2006 kurudi chini zinakula sana wese, naona from 2008 nyingi zinakula kawaida ila performance sio kubwa pia labda uchangue special editions
Nataka nitoke kwenye b4 Rsk twin turbo niingie forester cross sport, ntakuwa nmebugi?
 
Watu wananunua Subaru kwa ajili ya super performance yake! Sasa ukiweka engine ya corrola hauitendei haki! Ni vizuri ununue tu corrola toka mwanzo!!

performance maana yake nini, mwendokasi wa kushindana na upepo, kuvuka mitaro bila kunasa au uwezo wa kubeba magunia?
 
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
Pole sana mkuu....
1.Ukiwa unamiliki subaru nakushauri usijifananishe na magari ya kawaida (toyota sedan au law performance cars), utafanikiwa kwani kama ulivyotofauti na magari hayo pia ni tofauti na matumizi yake.
2. ukitaka upate matokeo mazuri kwenye subaru lazma uwe makini kuacha kuweka vitu cheap->
>> mf:- fuel,oil,and gearbox filters(weka genuine parts from subaru), oil za ajabu ajabu nashauri tumia angalau 5w30 ya kampuni za kueleweka.
-Pia Subaru engines hazitaki mafuta ya machafu au ya kidebe au sheli ambazo sio makini ushauri nunua unleaded.
3.zingatia kufanya service kwa wakati.
4.subaru ikiwa na miss hata kidogo sana inatumia mafuta kuliko kawaida inashuka mpaka hata 5km/lts sasa kuwa makini na hilo.
5.usidanganywe na mtu kwamba utaweza kubana ulaji wa mafuta kirahisi kwani utajikuta unajiingiza gharama kubwa za "mods" kuliko hizo za sasa ambazo unaweza kuzipunguza kwa kuzingatia taratibu za service.

Hizo lita 65(full tank) natoka daresalam hadi arusha. ila mafuta hayo hayo kwa dsm ukizingatia na foleni natembea km 450-480. kwa maana kwamba muda mwingi nakua kwenye foleni natembea na gia kubwa.

USHAURI WA BURE
= Subaru ni small SUV so usifananishe na magari madogo ya kawaida.

NB: NIMETUMIA SUBARU KWA MIAKA ZAIDI YA MITANO SASA SIJAWAHI KUJUTA NA SIDHANI KAMA NITAHAMA HUMU.
 
Upo Kwenye Subaru ipi?
Forester, Impreza WRX STI au ipi?
 
Nimeshatumia legacy,na wrx sti kidogo... ila kwa sasa nipo kwenye Forester STI...
Yapata miezi kama miwili niliendesha forester cross sport kutoka Chamazi Hadi Tegeta mivumoni aisee hii gar ilikuwa ni mara yangu ya Kwanza kudrive si mchezo hasa Kwenye overtaking.
Pia jamaa mwenye hii gari aliniambia amefunga kifaa Fulani kinapiga kama stop engine za nissan diesel UD,hiki kifaa kinatia mzuka Sana maana nilihisi naendesha basi la mikoani
 
kifaa kinaitwa "Damp valve" huwa kinatia mzuka sana wa kuendesha subaru...
 
Dam Valve, kazi yake hasa ni nini mkuu.

DAMP VALVE ni kifaa kinacho release pressure pale inapozidi kiwango cha kawaida na hii hutokea hasa kipindi gari linabadili gear na kifaa hichi kinaweza kufungwa katika magari yenye turbo. kifaa hichi ni after market so ni urembo kwa namna nyingine kwasababu sio lazma kukifunga.
Na pale utakapo amua kukifunga lazma uende kwa wataalam na kujua Damp Valve inayofaa kwenye gari yako kwa kupima kwa kutumia computer kwasababu unaweza funga ambayo inatoa pressure kubwa sana na ukasababisha gari kukosa nguvu na ukajikuta unaiumiza turbo kutokana na kufanya kazi 10x ili iweze ku maintain pressure na mwisho wa siku ni kuua turbo.
 
Aisee shukrani Sana!!!!
 
Yupi mnyama kati ya forester cross sport na forester xt

Dah! ni swali kubwa sana coz ni magari mawili yanayofanana vitu vingi sana kwa upande wa engine kwenye body ndio kunatofauti...
mfano kwenye hayo magari yote kuna mabayo ni manual na Atomatic na pia kuna turbo..

labda tuu... cross sport zimeanzia 2005 hadi na 2008 kwa version ya SG
>>cross sport- ipo yenye turbo na non-turbo
Na xt zimeanza kuanzia 2002 na kuendelea na zina turbo zote ...

so kutokana na swali lako itategemea mapenzi yako yapo upande gani ingawa ikiwa nini nitachagua:-
Cross-sport ambayo ni SG9 STI-- Hapa utafurahia maisha
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
subaru.jpg
 
View attachment 1213648
Kwaiyo uwezo wa forester cross sport ni uleule wa forester STI?
Maana haya matoleo matatu yananchanganya na sielewi ipi konki kati ya forester XT, forester cross sport na forester STI japo kwa bei hizo STI ziko juu sana kuliko hizo nyingine.
 
Back
Top Bottom