subaru ina uzwa

Mpaligogo

Member
Apr 22, 2012
27
1
Gari ndogo aina ya subaru forester ya mwaka 2000. transmition ni menu. Imeingia nchini mwaka 2009 rangi yake ni nyeusi. Bei ni mapatano. Kwa mawasiliano namba za simu 0784-604065/0762-575759
 
Ingia FaceBook, search, Subaru Fans of Tanzania. Post tangazo lako humo, utauza fasta. All the best.
 
Ndio ina turbo ni gari nzima sana kama utakuwa na uhitaji wa kweli wasiliana nami kwa namba nilizo kupa hapo kwanini naiuza ni swala tu! La kwamba ninahitaji kuwa na pesa kwa matumizi mengine!
 
Gari ndogo aina ya subaru forester ya mwaka 2000. transmition ni menu. Imeingia nchini mwaka 2009 rangi yake ni nyeusi. Bei ni mapatano. Kwa mawasiliano namba za simu 0784-604065/0762-575759

Pamoja na kuwa ni mapatano ungeweka bei unayoanzia wewe pia na picha ni muhimu
 
Wauzaji kama nyie mnakera sana,
Weka details za kutosha ,picha ,odometer ,bei ya kuanzia n.k
unataka tuanze kukuuliza maswali ndio ufurahi?
 
Mimi nafikiri ungeweka maelezo zaidi
Mf; Gari ipo wapi, imetembea KM ngapi hadi sasa, Picha zake, Bei ya kuuzia (inaongeleka au ni fixed) na kama inadaiwa tozo zozote (road licence etc)
Itakusaidia kupata wanunuzi walio serious
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom