Subaru Forester

Kama haina turbo ni around 8 to 11, kwa MT ( inategemea na mguu wako ) kama AT ni around 8 to 10

high way 12 to 15

kwa kifupi Subaru kwenye mafuta ni kama gari yoyote yenye CC2000, hasa ambayo haina turbo, watu wanaziogopa kutokana na historia, tulizoea kuyaona kwenye mashindano ya magar ambazo tayar zishafanyiwa tuning bas tunaziogopa ila ni gari imara ngumu na nzuri sana
Ni kweli tupu. Kama mtu anaweza kumiliki Crown,Mark X na Verossa,hawez kushindwa Subaru. Nimejiepusha kutaja BREVIS kwa kuwa hilo gari,siyo haba kwa mafuta though cc zake ni chini ya 3500(2500-3000)
 
Back
Top Bottom