Subaru forester 2004 for sale

DICXON

Member
Feb 10, 2011
27
11
Car for sale: Subaru forester sg5, 2004 model, imported in august 2011, full registered. For ths 20 mil only. Any serious interested buyer call me through 0614 109 566
 

Attachments

  • back.jpg
    back.jpg
    12.4 KB · Views: 122
  • SUBARU.jpg
    SUBARU.jpg
    12.5 KB · Views: 124
  • 134426-8.jpg
    134426-8.jpg
    13.2 KB · Views: 110
  • 134291-4.jpg
    134291-4.jpg
    12.5 KB · Views: 103
Safi sana kitu kimetulia ni bomba sana,nina imani utapata wanunuzi kupitia jf.
 
Full registered means iko bongo tayari,
Why still unaweka picha za mwanzo za kule nje?
Au hapa bongo tayari ishakula mizinga na pasi za kutosha kiasi cha kutotamanika kwenye picha?
 
Full registered means iko bongo tayari,
Why still unaweka picha za mwanzo za kule nje?
Au hapa bongo tayari ishakula mizinga na pasi za kutosha kiasi cha kutotamanika kwenye picha?

sure, liko bongo tayari, liko vile vile lilivyokua japan, halijabadilika, ndo maana pia nikaweka picha zile zile. Ila cha muhimu ni kwamba anayetaka kununua lazima alione, alikague na alitest kabla ya kununua. Hiyo si obvious
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom