Jack HD
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 852
- 1,159
- Thread starter
- #21
Nina experience na passo ya rafiki, nibora ningeendelea kudunduliza kibubu lakini si kuangukia kwenye balaa la Passo. Kigari kinagonga balaa, kwa hizi barabara zetu si option sahihi kabisa.Kwangu Mimi naona haujakosea kabisa kuchukua hiyo ndinga......
Kama ungenunua Passo usiongeona michango mingi zaidi-zaidi tungekuponda tuu