Subaru Fans Special Thread

Kwangu Mimi naona haujakosea kabisa kuchukua hiyo ndinga......
Kama ungenunua Passo usiongeona michango mingi zaidi-zaidi tungekuponda tuu
Nina experience na passo ya rafiki, nibora ningeendelea kudunduliza kibubu lakini si kuangukia kwenye balaa la Passo. Kigari kinagonga balaa, kwa hizi barabara zetu si option sahihi kabisa.
 
Yan watu wengine sijui vip utasikia subaru inabwia mafuta sasa ukimuuliza inakula vp hana majibu, subaru ni gari poa sana
 
Nami nina ndoto za kukaa ndani ya huyu mnyama japo mkubwa mshana Jr anaesa gari za kijapani hazijakingwa sana kwa ajari lakini my heart belongs to Subaru soon nikitoka kwa carina ti nitakuwa ndani ya Subaru.
 
Huyu hapa nawaletea wazee wenzangu wa Subaru.

Screenshot_20190605-212609.jpeg
 
Huu Uzi mnitagi, mwezinwa 5 sasa naanga liangari itayonifaa kwa fujo zang, ila nitamvua mtu mpya siwezi. Viva SUBRU@@
 
Vijana wa chuga wqnazipenda....eti za kuopolea watoto wazuri..??

Halafu vijana wengi wanaoendesha hizi..akili zao huwa haziwazi mipango ya maisha...

Akili inatekwa na kile kibuyu kinachokoroma pale nyuma
Sio kweli mkuu
 
Back
Top Bottom