Suali gani waulizwe wakuu viongozi wa - Polisi/CHADEMA/ACT/CCM/NEC/ZEC

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,944
3,820
Labda waandishi wanaopitia hapa JForums kama una suali labda unalo muda mrefu na ungependa waandishi wa habari na wa vyombo vya televisheni waliulize ,
Maana kila siku tunaona watajwa wanaitisha mikutano ya dharura kuzungumzia jambo bahati mbaya suali ulilonalo au unalolitegemea haliulizwi,weka hapa tuone waandishi wetu wakiwakilisha masuali hayo.
 
Back
Top Bottom