Suala ya Pensheni laibuka Bungeni, Lissu na Zitto watoa hoja, Mhagama ataka lijadiliwe kikamati

kuna kadalili huwenda tukatokewa na tukio la kihistoria Tanzania kwa mfuko wa jamii unaoitwa nssf kufilisika vinginevyo serikali ibadilike. wateja wamedhamilia kufuata haki yao mahakamani sasa chukulia wafanyakazi wa migodi 4000 ambao mwezi wanaweza kuweka wastani wa 500,000 kwa miezi ya chini sana 36 na faida labda ya 30% inakuwaje hapa
na wengine wakidai?
hii inaweza kuwa kama wateja wote wa benki wakiamua kwa pamoja kufuata fedha zao.
achilia mbali nauhakika serikali bado haijalipa kiasi kikubwa cha madeni inayodaiwa na mfuko huu na haina mpago wa kulipa kwa sasa
hapo vipi
 
Hawa wabunge wa CCM walio zemea muongozohuo nibure kabisa, wakobungeni kwa ajili ya kutetea matumboyaotu nakuitetea serikari ili iendele kutugandamiza wananchi hakuna kingine.
 
Back
Top Bottom