Suala ya Pensheni laibuka Bungeni, Lissu na Zitto watoa hoja, Mhagama ataka lijadiliwe kikamati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suala ya Pensheni laibuka Bungeni, Lissu na Zitto watoa hoja, Mhagama ataka lijadiliwe kikamati

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jul 26, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Lapigwa dana dana na mwenyekiti wa Bunge hadi saa saba mchana wakutane kikamati na watoa hoja waje na data za kueleweka juu ya kipi wananchi wanakilalamikia.

  Wabunge wa CCM wamzomea Lissu kwa hoja ilipitishwa tayari na bunge
   
 2. tanira1

  tanira1 JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 938
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wabunge wa ccm wakomaa kutuumiza angalieni bunge
   
 3. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mh. Jaffu akubaliwa kuleta hoja kuhusu mabadiliko ya sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii na aiwasilishe leo hii saa saba mchana ijadiliwe bungeni.


  Source: Bunge Live
   
 4. R

  Rwechu Member

  #4
  Jul 26, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hebu funguka zaid, kasemaje mpaka kakubaliwa?
   
 5. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  wamesemaje mkuu?
   
 6. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Mie naona ni kupotezeana muda,hayo ni matokeo ya kusema NDIOOOO kwenye kila kitu....
   
 7. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,136
  Likes Received: 7,386
  Trophy Points: 280
  Nimemkubali Kangi Lugola kwamba kama bunge linakubali kujadili hoja, basi inamaanisha kua halikua makini mwanzo.
   
 8. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mimi naangalia hapa,halijapigwa danadana, mwenyekiti Jenista Mhagama amekubaliana na hoja ya mheshimiwa suleiman jafu mbunge wa CCM kisarawe, amambiwa awasiliane na wafanyakazi, aandae vema malalamiko juu ya masuala ya pensheni, saa saba na robo awasilishe kwa mwenyekiti, na saasaba hiyo kamati ya uongozi itakutana, na hatimae kupanga kujadiliwa kwa kina. AMEKUBALI LIJADILIWE KWA UDHARURA! SAFI SANAAAA!
   
 9. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Naona kulianza kuwaka moto bungeni, Mbunge wa Mwibara anahoji bunge hili hili lilipitisha hii sheria, vipi tena leo wanarudi kudai hoja ya dharula??? Umakini uko wapi??
   
 10. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hueleweki funga semi yako ni butu
   
 11. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mheshimiwa zito aliunga mkono hoja ya mheshimiwa jafu,na akashauri kamati ya uongozi ikutane,imekubaliwa na mwenyekiti.

  Mheshimiwa kangi lugola akaomba mwongozo na kusema ni kivipi sheria iliyopitishwa na bunge hilohilo,iletwe tena kujadiliwa bungeni, kwa maana kwamba inaonyesha jinsi gani bunge halikuwa makini katika kupitisha hiyo sheria.

  Mwenyekiti wa bunge mhe jenista mhagama amesema sheria zinazopita bungeni sio MSAHAFU,ruksa KUANGALIWA NA KUJADILIWA UPYA KWA MANUFAA YA WANANCHI!
   
 12. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kama lilipitishwa bungeni kuna jinsi waliliskip kwa kutoliona au liliwasilishwa kimazingira ambayo isingekuwa rahisi kugundua impact yake kwa walengwa. Huu mchezo unachezwa sana na si kweli kwamba wabunge akiwemoLugola hawakuwa makini kiasi hicho
   
 13. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Huyu jamaa Kichwa sana. CCM wanataka kujipatia umaarufu kuwa wanawajali wafanya kazi wakati wao ndio waliosema ndiooooooo miezi mitatu tu iliyopita kuunga mkono hoja hii..Iweje leo tena wabunge wajifanye hawakushiriki uhuni huu?
   
 14. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  gudiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 15. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kaazi kweli kweli, sasa kama bungeni watu wanachapa usingizi watajuaje hoja gani imepita.
   
 16. nkyalomkonza

  nkyalomkonza JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 1,165
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yaelekea wabunge huwa wanasinzia tu bungeni. Nimeshangaa eti na wao wanaishangaa hiyo sheria wakati ilipitia hapo bungeni. Kweli hawa jamaa wapo kwa ajili ya matumbo yao tu.
   
 17. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kama hapo saa saba itabaki hivyo walivyopitisha mwanzo, basi nasisitiza kuwa na wao Wabunge mafao yao ya baada ya miaka mitano yaingizwe katika mifumo ya mifuko ya PENSHENI ya UZEENI wasilipwe mkupuo!.
   
 18. Stanley.

  Stanley. JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  wabunge wa CCM hawakumzomea Lissu kwa vile hoja ilipitishwa na bunge! Walichowaza ni kama vile mh Lissu anataka kuiteka hoja yao ambayo imetolewa na mh Jaffo mbunge wa kisarawe.
   
 19. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mh: Jaffu aliomba muongozo wa spika kupitia kwa Jenista Mhagama na kuomba swala la mifuko ya jamii lijadiliwe bungeni kama jambo la dharura kwasababu wananchi wengi wanalalamikia mabadiliko ya sheria ya kupata mafao pale mwanachama atakapo fikia umri wa miaka 55.

  Jenista Mhagama akakubaliana nae kisha akamuagiza akapange hoja yake vizuri in details aiwakilishe bungeni saa saba mchana ili ijadiliwe na wabunge.
   
 20. Ston Merchant

  Ston Merchant JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35

  ........
   
Loading...