Suala sio Rais Magufuli kuongezewa muda, bali ni nani atayaendeleza haya anayoyafanya?

Hakukuta ikulu? hakukuta watu tunasafiri kwa ndege? hakukuta zahanati na hosptal je ndugu zake walikuwa wanatibiwa wapi? barabara je hazikuwepo? tuache siasa kila rais kafanya kitu yeye anafanya mwendelezo tu.

Kitu gani kipya amefanya zaidi ya kupunguza mikopo chuo kikuu, kupunguza ajira,kuzima bunge na kubana wanasiasa wapinzani wake?

mambo ya kumtegemea rais mmoja aje atuletee maendeleo kisa tu kaweka sheria na katiba kwapani ni ujinga atoe uwanja sawa wa mapambano tuone kama sio rais mbovu toka tupate uhuru.
Exactly malafyale umenisemea hata mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wana mkataba na Mungu kuishi miaka 15 ijayo sawa. Kitu pekee ni kuweka mifumo na sio watu. Mifumo bora inahitaji watu maalum kuitengeneza ila watu wa kawaida tu kufanya nayo kazi.
Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?

Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake amabae ataendeleza yale mema aliyokuwa anayayafanya.

Hivyo basi Rais Magufuli ahakikishe na kufanya juu chini Kassim Majaliwa anarithi mikoba ili mziki uendelee kama kawa

Tanzania tangu ipate uhuru huu ni mwaka wa 58,katika hiyo kaongoza 4 tu. 54 hakuwa yeye na mambo yalienda.
Kudhani hakuna wa kufanya ni ujinga wapo watanzania wengi tu wanaweza hata kumzidi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?

Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake amabae ataendeleza yale mema aliyokuwa anayayafanya.

Hivyo basi Rais Magufuli ahakikishe na kufanya juu chini Kassim Majaliwa anarithi mikoba ili mziki uendelee kama kawa
Next time ni mwanamke. Kati ya Rose Migiro na Halima Mdee. Mwenye wivu ajinyonge!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunahitaji katiba mpya
FB_IMG_1576730622809.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bravo
Hakukuta ikulu? hakukuta watu tunasafiri kwa ndege? hakukuta zahanati na hosptal je ndugu zake walikuwa wanatibiwa wapi? barabara je hazikuwepo? tuache siasa kila rais kafanya kitu yeye anafanya mwendelezo tu.

Kitu gani kipya amefanya zaidi ya kupunguza mikopo chuo kikuu, kupunguza ajira,kuzima bunge na kubana wanasiasa wapinzani wake?

mambo ya kumtegemea rais mmoja aje atuletee maendeleo kisa tu kaweka sheria na katiba kwapani ni ujinga atoe uwanja sawa wa mapambano tuone kama sio rais mbovu toka tupate uhuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ilijengwa wakati wa kikwete.
Hawa wanaangalia Vipindi vya TBC 'Tunatekeleza' na Kishindo Cha awamu ya tano' mule miradi anayozindua Mara ya pili Jiwe na uongo wa Watangazaji unaotiwa nakshi na Ma- DCs na RCs wanaomsifia jiwe huku macho na mishipa ya shingo imewatoka kwa shukrani za etu 'kaleta pesa'
 
Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya?

Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake amabae ataendeleza yale mema aliyokuwa anayayafanya.

Hivyo basi Rais Magufuli ahakikishe na kufanya juu chini Kassim Majaliwa anarithi mikoba ili mziki uendelee kama kawa
Sio majaliwa makonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom