mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,082
Kila siku tunaambiwa UKAWA imesaidia sana mgombea uraisi kupata kura nyingi. Kabla ya kuungana tuliambiwa kuna technical committee iliyokuwa inakaa na kuangalia namna gani pia ruzuku itakayopatikana kwa chama kitakachosimamisha mgombea itagawanywa kwa vyama shiriki vingine.
Tunapenda kujua kwa uwazi utekelezaji wa hili ukoje? Je CHADEMA inawagawia ruzuku NCCR, CUF na kile chama cha marehem Dr. Makaidi? Kwa afya ya kuimarisha vyama vya upinzani ningependa kuona CHADEMA wanakuwa na dhamira safi kwa kuwagawia vyama shiriki stahili zao.
Hii thread lengo lake ni kupata mrejesho pamoja na changamoto zake kama zipo, mojawapo ya misingi ya utawala bora ni uwazi.