Mkuu tumefika huku kweli! Tunajaji Fulani anashinda msibani iki ale.Mnajua baraka za watu nyie.Unataka msiba ubaki peke yako na watoto.This is Afrika umagharibu usitufanye tuwe wachoyo.Halafu kuna mijitu inashinda msibani kuanzia asubuhi hadi usiku yupo tu na anakula chakula bila kuchangia hata senti eti anamfariji mfiwa, wengine wanalalamika msibani unakuta nyumba imejaa watu wanalala sebuleni, vyumbani hadi nje.
Ni utaratibu wa kipuuzi sana, wanatakiwa wabaki watu wachache wa karibu wasiozidi kumi.
Mambo mengine ya kiafrika mnatakiwa kubadilika, unakujaje msibani unakaa siku nzima unakula na mchango hujatoa, na nyumbani kwako sio mbali, na huna ukaribu wowote na familia. Ni tabia mbaya badilikeniMkuu tumefika huku kweli! Tunajaji Fulani anashinda msibani iki ale.Mnajua baraka za watu nyie.Unataka msiba ubaki peke yako na watoto.This is Afrika umagharibu usitufanye tuwe wachoyo.
Hela zenyewe wanazotumia kupikia mara nyingi ni rambirambi ambazo zimetolewa na hao hao unaosema wasile..!!Haiwezekani umefiwa na kipenzi chako halafu hapo hapo unawapikia wanaokuja kumzika wale washibe waende zao.
Huku kwetu wapo vijana wanashinda msibani kuanzia asubuhi hadi saa 7 usiku wanacheza katata, hawatoi mchango wowote wala kufanya kazi yoyote. Wao ni kula na kucheza karata. Huoni kama ni mzigo kwa wafiwa?Hela zenyewe wanazotumia kupikia mara nyingi ni rambirambi ambazo zimetolewa na hao hao unaosema wasile..!!
Sidhani kama wanatoaga hela yao mfukoni, kama wanatoa basi ni kuongezea tu kwenye rambi rambi zilizokwisha kusanywa.
Jamaa sijui anasemaje yani,watu wanafanya hizo mambo bwanaHuku kwetu wapo vijana wanashinda msibani kuanzia asubuhi hadi saa 7 usiku wanacheza katata, hawatoi mchango wowote wala kufanya kazi yoyote. Wao ni kula na kucheza karata. Huoni kama ni mzigo kwa wafiwa?
Kama hujawahi kuona watu wanategemea chakula cha wafiwa basi ni bora ukanyamaza mkuuHela zenyewe wanazotumia kupikia mara nyingi ni rambirambi ambazo zimetolewa na hao hao unaosema wasile..!!
Sidhani kama wanatoaga hela yao mfukoni, kama wanatoa basi ni kuongezea tu kwenye rambi rambi zilizokwisha kusanywa.
Wapo wanaotegemea mkuu sijapinga hilo..Kama hujawahi kuona watu wanategemea chakula cha wafiwa basi ni bora ukanyamaza mkuu
Yes nakubaliana na wewe..!! Lakini pia kuna waliotoa rambirambi kufanikisha msiba; hivyo kwa kuonyesha kuwajali huwa wanaandaa chakula sasa msibani hakuna kadi,, unamtambuaje huyu ametoa rambiramb na huyu hajatoa??Huku kwetu wapo vijana wanashinda msibani kuanzia asubuhi hadi saa 7 usiku wanacheza katata, hawatoi mchango wowote wala kufanya kazi yoyote. Wao ni kula na kucheza karata. Huoni kama ni mzigo kwa wafiwa?
Ni tabia mbaya na mzigo kwa wafiwaJamaa sijui anasemaje yani,watu wanafanya hizo mambo bwana
Tatizo ni kwamba michango sio kwaajili ya chakula pekee, kuna jeneza, sometimes deni la matibabu na usafiri kama mnasafirisha. Na michango mara nyingi huwa haitoshi. Tupunguze kusababisha gharama ambazo hazina msingi.Yes nakubaliana na wewe..!! Lakini pia kuna waliotoa rambirambi kufanikisha msiba; hivyo kwa kuonyesha kuwajali huwa wanaandaa chakula sasa msibani hakuna kadi,, unamtambuaje huyu ametoa rambiramb na huyu hajatoa??
Lakini logic nyingine ni kwamba wanaotoa huwa wanacover baadhi ya wasiotoa.
NOTE: Sikubaliani na hao wanaosubiri chakula cha msibani, lakini familia inaonyesha upendo kwa waombolezaji wake ni kitu kizuri.
Mm nimekuelewa ila Iko hivi mkuu.Wapo wanaotegemea mkuu sijapinga hilo..
Ila kwa huko Tz ni misiba michache sana ambayo inamudu kuwalisha waombolezaji kwa pesa za familia..
Misiba mingi chakula chake ni sehemu ya rambirambi ambazo zimetolewa.
Nadhan hujanielewa mkuu..!!
Na hilo ndo nalikazia hapa.Tatizo ni kwamba michango sio kwaajili ya chakula pekee, kuna jeneza, sometimes deni la matibabu na usafiri kama mnasafirisha. Na michango mara nyingi huwa haitoshi. Tupunguze kusababisha gharama ambazo hazina msingi.
DaahKinachosikitisha zaid katka baadhi ya misiba wafiwa kukosa chakula walicho gharamia wenyewe huku baadhi ya waombolezaji nawalioshiriki kukiandaa kuondoka na chakula huku wafiwa wakirud kuandaa kingine jikon inastaajabisha sana kwenye misiba ya kiswahil