suala la umeme nani alaumiwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

suala la umeme nani alaumiwe?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bulletproof, Jul 21, 2011.

 1. b

  bulletproof New Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi mimi nasikitishwa sana na kila leo nikisoma habari za watanzania wenzangu waliopo tanzania,update zao kwenye social network hakuna zaidi ya kulalamikia umeme kwenye magazeti nao pia hivyo hivyo sasa kwa vile mi siko tanzania I know hili tatizo hasa nilimeshanikuta nikiwa dar,so nilitaka kuuliza serikali kwa pesa iliokuwa nazo ishindwe kuendesha umeme ama tanesco kwa bili za luku watukulipia tanzania ishindwe kutafuta solution?nchi kama kenya haina source za maji nyingi kama tanzania wao wana umeme 24hrs kwann sisi does it mean uongozi wakusimamia maswala ya nishati ni mbovu?au richmond ilimaliza pesa haya basi mngechukua pesa za epa zilizorudishwa nakununua kifuaumeme watanzania tungeelewa pia hata hizo kodi zinazokatwa wafanyakazi?mmmhhh sasa ndugu zangu wanajf mnadhani nani alaumiwe?
   
Loading...