mdau mpya
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 471
- 636
Nianze kwa kudeclare interest kuwa mimi nafanya kazi katika shirika linalohusika na masuala ya afya ikiwemo HIV.
Katika hali isiyo ya kawaida, nimekuwa Njombe kwa taktibani miezi 6 nikitembelea vijiji kwa vijiji nikikusanya takwimu. Kuna baadhi ya vijiji siku ya kuchukuwa dawa (ARV) ni kama kijiji kizima kinapanga mstari.
Kuna hadi watoto wadogo kwenye miaka 18 n.k. Hawa wageni niliokuwa nao (mabeberu) mpaka walikuwa wanalia njiani tukiwa tunaelekea tulikokuwa tunakaa.
Sometime unakuta baba, mama, watoto wote wamepanga mstari kusubiri dawa. This is a absolutely not acceptable.
Viongozi wa dini huko Njombe hubirini injili ila msisahau kuwahusia watu kujiepusha na hili gonjwa. Ukienda kwenye shule za sekondari hali si shwari kabisa.
Taifa litangaze hali ya hatari na inahitajika nguvu ya ziada otherwise ndugu zangu WABENA, WAKINGA, WAHEHE wataisha in case mabeberu wakazuia dawa hata kwa siku chache tu.
Wizara ya Afya amkeni!
Sent using Jamii Forums mobile app