Suala la Ufahamu: Naomba Kujua jinsi ya Kufuta Documents kwenye Recycle Bin simu za Samasung

Ndikwega

R I P
Feb 1, 2012
5,979
5,524
Salaam!

Wadau kama Mada inavyojieleza, naomba Msaada kufuta Documents na Video zilizopo Recycle Bin Samsung Galaxy A12. Nimefuta vitu kibao kwenye Simu ila naona Vinahamia Recycle bin na bado naoma nakosa Nafasi kwenye Simu. Maana nilikuwa na Video zenye Ukubwa wa zaidi ya 20GB ila nimefuta bado inaonekana zimeshikilia nafasi.

Msaada wenu Wataalamu, maana naelewa humu JF ndiyo Kila Kitu.

Uwezo wangu umeishia nimeshindwa kufanikiwa.
 
Km sijakuelewa vibaya,nenda huko huko kwenye recycle bin kavifute/delete vitafutika
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom