Suala la UDSM kupitia UCC kutangaza kazi na kuweka vigezo kuwa lazima uwe Mfanyakazi wa UDSM/UCC, hii nayo ni rushwa

kalipeni

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
1,528
1,241
Suala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kupitia UCC kutangaza kazi na kuweka vigezo referees lazima awe Mfanyakazi wa UDSM au UCC yenyewe ni moja ya rushwa makazini kwakua ili upate iyo kazi lazima ndugu yako awe Mfanyakazi wa UDSM

Kwa watoto wa Wakulima ambao hawana ndugu madokta au maprofesa hawana haki ya kupata ajira tena bila hofu wala uoga Taasisi za Serikali zinatangaza kazi na kuweka kigezo cha undugu.

TAKUKURU fuatilieni hili kwani halina tofauti na aina zingine za rushwa.
 
Hao jamaa wanaboa nakumbuka had I zile za sabasaba walitaka uwe na mtu wa udsm
 
UBAGUZI HATARI WAKATI KUNA VIJANA WENGI MTAANI WA LEVEL YA KUANZIA FORM SIX WENYE UWEZO MKUBWA WA KUSIMAMIA MORE THAN 100 PEOPLE PER ONE TIME , NA WANA BOUND NA WAFANYAKAZI MPAKA WA OFISI YA RC MAKONDA , SASA DAH YAAANI NI UBAGUZI WA NGAZI YA KITAIFA .
 
MIE MPAKA NIMEANDIKA cover letter , mpaka na CV+PLUS TWO REFEREES AMBAO WANAPIGA KAZI NDANI YA OFISI YA RC DSM , nkaweka KWENYE RECRUITMENT YAO YA UCC , MPAKA PICHA SASA CHA AJABU KWENYE VIPENGELE VYA MWISHO VYA REFEREES..NDO NKASIZI KABISA.
 
MIE MPAKA NIMEANDIKA cover letter , mpaka na CV+PLUS TWO REFEREES AMBAO WANAPIGA KAZI NDANI YA OFISI YA RC DSM , nkaweka KWENYE RECRUITMENT YAO YA UCC , MPAKA PICHA SASA CHA AJABU KWENYE VIPENGELE VYA MWISHO VYA REFEREES..NDO NKASIZI KABISA.
 
Suala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kupitia UCC kutangaza kazi na kuweka vigezo referees lazima awe Mfanyakazi wa UDSM au UCC yenyewe ni moja ya rushwa makazini kwakua ili upate iyo kazi lazima ndugu yako awe Mfanyakazi wa UDSM

Kwa watoto wa Wakulima ambao hawana ndugu madokta au maprofesa hawana haki ya kupata ajira tena bila hofu wala uoga Taasisi za Serikali zinatangaza kazi na kuweka kigezo cha undugu.

TAKUKURU fuatilieni hili kwani halina tofauti na aina zingine za rushwa.
UDSM kimekuwa chuo cha wahuni siku hizi, kwa hiyo asiekuwa na mtu UCC hapati kazi huu ni uhayawani
 
Suala la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kupitia UCC kutangaza kazi na kuweka vigezo referees lazima awe Mfanyakazi wa UDSM au UCC yenyewe ni moja ya rushwa makazini kwakua ili upate iyo kazi lazima ndugu yako awe Mfanyakazi wa UDSM

Kwa watoto wa Wakulima ambao hawana ndugu madokta au maprofesa hawana haki ya kupata ajira tena bila hofu wala uoga Taasisi za Serikali zinatangaza kazi na kuweka kigezo cha undugu.

TAKUKURU fuatilieni hili kwani halina tofauti na aina zingine za rushwa.

Ubalozi wa marekani nchi Tz nao walitangaza kazi, na ilikuwa lazima muombaji awe na mtu anayemfahamu ubalozini either mstaafu au anayeendelea na kazi. Nayo ilikuwa rushwa?
 
kutoa ajira kwa kigezo Cha kujuana ni rushwa isipokua zile zinazohitaji utaifa Kama katika majeshi lengo likiwa ni usalama.
 
Ubalozi wa marekani nchi Tz nao walitangaza kazi, na ilikuwa lazima muombaji awe na mtu anayemfahamu ubalozini either mstaafu au anayeendelea na kazi. Nayo ilikuwa rushwa?
Unataka.kujaribu kutetea upumbavu inayofanywa na chuo kikuu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom