Suala la Tundu Lissu tusilichukulie poa kuna watu halitakuja kuwaacha salama

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kwa mambo yaliyomkuta Tundu Lissu watu wanaweza kuyachukulia poa lakini kuna muda ukifika kuna watu hayatakuja kuwaacha salama, watakuja kuishi kwa shida sana, kuna watu wataendelea kuwalaumu mpaka kufa kwao na hata wakifa kuna watu wataendelea kuwalaumu.

Japo watu husema kila mtu ana uzuri wake na ubaya marehemu hasemwi vibaya ila kuna watu wataendelea kuwalaumu lakini pia wataendelea kuvilaani vizazi vyao mpaka mwisho wa Dunia.

Narudia kusema waliomfanyia Lissu unyama hadi kumsababishia ulemavu ubaya wote aliofanyiwa muda ukifika waliomfanyia ukatili ule Dodoma hawatakuja kuishi kwa raha hapa dunianI.
 
Acha tu.......hili swala limeijaza sana hasira mioyo ya Watanzania majority ukizingatia LISSU alikua mtetezi wa kweli wa raslimali (dhidi ya majizi CCM na mikataba yao mibovu ambayo ccm wamekua wakiingia kwa faida zao binafsi na za mabeberu)......lakini wakaamua kwa maagizo maalum kmuua lkn Mungu akasimama na watz wanyonge akawaaibisha madikteta uchwara.....

Huu uchungu hauwezi kupoa kamwee mpaka pale mtu wa mwisho atakapotiwa mbaroni kipindi kukiwa na serikali ya wananchi
 
Kwa mambo yaliyomkuta tundu lissu watu wanaweza kuyachukulia poa lakini kuna muda ukifika kuna watu hayatakuja kuwaacha salama, watakuja kuishi kwa shida sana, kuna watu wataendelea kuwalaumu mpaka kufa kwao na hata wakifa kuna watu wataendelea kuwalaumu

Japo watu husema kila mtu ana uzuri wake na ubaya marehemu hasemwi vibaya ila kuna watu wataendelea kuwalaumu lakini pia wataendelea kuvilaani vizazi vyao mpaka mwisho wa dunia.

Narudia kusema waliomfanyia lissu unyama hadi kumsababishia ulemavu ubaya wote aliofanyiwa muda ukifika waliomfanyia ukatili ule Dodoma hawatakuja kuishi kwa raha hapa dunian
Jazia nyama mkuu
 
Kwanza nashukuru kwa kukubali upande qa watz isipokua umegoma upande wa Mungu......

Sijui Imani yako mkuu Ila watz wanaamini Mungu pia yuko pamoja nao maana Mungu haachi waja wake na hii ni kwa sababu ya maneno maonyo na matendo ya KINABII ya LISSU
Mkuu umefanya sensa ya watz ukajua kuwa wote wako upande wa Lissu mkuu? Au unajisemea tu roho yako ipendavyo?
 
Back
Top Bottom