Suala la Sabaya, CCM imejionesha kuwa ni chama cha Dola

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,168
Lazima wana CCM tuainishe the basic contradiction ya uhusika su kutohusika kwa CCM katika suala la Ole Sabaya.

Komredi Abdulrahman Kinana alipokuwa Katibu Mkuu CCM, pamoja na Katibu Mwenezi Nape Nnauye, wakati wao wslidiriki kuinyooshea kidole Serikali kwa mapungufu kila idara iliyokuwa inapwaya.

Lakini CCM chini ya Awamu ya Tano kilijigeuza kuwa sehemu ya Dola, wananchi wakawa hawana access na idara ya serikali iliyoitwa CCM.

Chini ya Katibu Mkuu Bashiru Ali na Katibu Mkuu Polepole, hawa wakawani kutekeleza tu matakwa ya Mwenyekiti wa CCM ambaye ni mkuu wa dola.

Ilafika wakati Polepole asijue hata wito wake kuwatumikia wananchi na kudifu ma V8 wanayopewa na serikali.
Kiujumla chama kikawa mfu na hili ni hatari.

Dola ikawa inaonea wananchi wake CCM kimya.

Ujambazi wa Sabaya, CCM haijawahi kunyanyua mdomo, wakati ule wa JPM na hata sasa.

Si katika ngazi ya Wilaya, Mkoa au Taifa, mtu kafanya ujambazi mchaba kweupee! CCM kimyaa!

CCM chama Dola ndio kitaendelea kukosa ushawishi.

Mwisho CCM kitakuwa chama cha kuongozana na viongozi katika misafara tu-Chama Dola.

Amka CCM yangu!

Haya leo CCM inarushiwa madongi suala la Sabaya.

20211020_084750.jpg

20211020_084634.jpg
 
"Acha waisome namba eeees waisome namba CCM mbele kwa mbele".

Huu wimbo umekaa kinafiki sana
 
Lazima wana CCM tuainishe the basic contradiction ya uhusika su kutohusika kwa CCM katika suala la Ole Sabaya.

Komredi Abdulrahman Kinana alipokuwa Katibu Mkuu CCM, pamoja na Katibu Mwenezi Nape Nnauye, wakati wao wslidiriki kuinyooshea kidole Serikali kwa mapungufu kila idara iliyokuwa inapwaya.

Lakini CCM chini ya Awamu ya Tano kilijigeuza kuwa sehemu ya Dola, wananchi wakawa hawana access na idara ya serikali iliyoitwa CCM.

Chini ya Katibu Mkuu Bashiru Ali na Katibu Mkuu Polepole, hawa wakawani kutekeleza tu matakwa ya Mwenyekiti wa CCM ambaye ni mkuu wa dola.

Ilafika wakati Polepole asijue hata wito wake kuwatumikia wananchi na kudifu ma V8 wanayopewa na serikali.
Kiujumla chama kikawa mfu na hili ni hatari.

Dola ikawa inaonea wananchi wake CCM kimya.

Ujambazi wa Sabaya, CCM haijawahi kunyanyua mdomo, wakati ule wa JPM na hata sasa.

Si katika ngazi ya Wilaya, Mkoa au Taifa, mtu kafanya ujambazi mchaba kweupee! CCM kimyaa!

CCM chama Dola ndio kitaendelea kukosa ushawishi.

Mwisho CCM kitakuwa chama cha kuongozana na viongozi katika misafara tu-Chama Dola.

Amka CCM yangu!

Haya leo CCM inarushiwa madongi suala la Sabaya.

View attachment 1980440

View attachment 1980443
Mmetuchosha na manyuzi ya Sabaya Mods unganisha hii takataka
 
Umeongea point CCM ya bashiru ally ilidhibiti tu Wana CCM walio kuwa against dola na kuwaacha viongozi aina ya kina sabaya wanapeta, walishindwa hata kuikosoa serikali Yao wenyew Bali wakaungana na dola...
 
Back
Top Bottom