Ni muda mrefu sasa tangu wawekeza katika Kampuni ya uwekezaji NICOL kuwekeza humo lakini hadi sasa haieleweki nini kinaendelea katika Kampuni. Hili ni jipu ambalo linahitaji kutumbuliwa na Mh Rais wa awamu ya Tano John Pombe Magufuri. Wadau popote mlipo mmfikishie Mh Rais suala la NICOL ili alimulike kwa karibu ili Watanzania waliowekeza mle wapate haki zao. Nawasilisha.