Zamazangu
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 827
- 465
Kuna taarifa za kuaminika kutoka vyanzo mbalimbali vya kuaminika kuwa. Walimu ambao ndio wasimamizi wakuu wa mitihani ya taifa wamekuwa wakikopwa posho zao za usimamizi kwa miaka miwili sasa yaani 2015 na 2016. Hali hii so mzuri kabisa kwani inavunja moyo wa kujitolea walionao walimu.
Tunaomba wahusika waliangalie kwa jicho LA huruma ukizingatia kuwa walimu wana madai mengi sana pamoja na watumishi wengine wa serikali. Hata tunapoona matokeo mabaya hivi ni lazima tujihoji je hawa watendaji na wahusika.
waliangalie hili jambo kwa jicho sio tu LA huruma Bali pia lenye lengo LA kuongeza tija kwa Elimu ya Tanzania. Tutaendelea kuwa wasindikizaji ktk Elimu had I lii.
Tuwapende walimu tuwasikilize walimu na tuwatendee vile tunavyotaka cc tutendewe. Hawa nao ni watu hawa.