Suala la mwenge limepitwa na wakati sio njia sahihi ya kumuenzi mwalimu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suala la mwenge limepitwa na wakati sio njia sahihi ya kumuenzi mwalimu....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by harakat, Oct 31, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Suala la kukimbiza mwenge wa uhuru Tanzania nzima ni suala ambalo linaigharimu Nchi mamilioni ya fedha
  wakati huo huo mwenge huo huwa unakua unafungua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ambayo
  ni ya fedha kidogo ukilinganisha na gharama za kuukimbiza mwenge wenyewe..........
  suala hili liangaliwe upya
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kaka ukimwona mwanao wa form one akikariri aeiou ujue umeliwa.
   
Loading...