ile hoja ya trillion 1,5 itafungwa ikiwa inavielelezo vyote na hata ile ya yule mtu aliyehamisha ofisi India ikitumia fedha za umma wakati watu hawana huduma muhimu
 
Mtoa Mada umefafanua vizuri sana na wengi tumekuelewa.ila cha kushangaza kuna watu hili jambo wanaliweka kisiasa.
 
Lame. There was absolutely no justification for you getting personal with me.

I wasn’t relying on my personal understanding of English vocabularies. That is just your own preconception.

You just had to throw that personal dig. You couldn’t help it!!!

Oh well, whatever floats your boat and gives you hope. I’ll let it slide.
You were... because as I said earlier, you never provided any reference to support your argument. So, it's your personal judgment based on your personal English use!

Oh yes you can. Unless you don’t know how to say it.

That language can easily be tightened.

Once all other eligibility factors have been met, age included, I don’t see why I can’t say the tenure shall be renewed
You can but you must add more phrases unnecessarily! When you read a sentence with "...shall be eligible" the statement is fully explainable that, there're some eligibility requirements that need to be met.

In contrary, when you say "...shall be renewed", you must add more phrases like "...subject to other provisions of this article/act". Then a reader will be aware that the renewal is conditional!
You are wrong. If all other eligibility factors/ conditions have been met, age included, why can’t you say the CAG’s tenure ‘shall be renewed’.

Sorry, you are wrong on this one. Your reasoning just doesn’t cut it.
More often than not, these eligibility criteria are being outlined in different articles, and sometimes different acts, let alone the possibility of being mentioned in the constitution.

It's from that fact, that's why you can't use a hard sentence/phrase like "...shall be renewed" without adding other phrase like the one above; subject to...!!!
What??

You’re just not making any sense.

Figuring out someone’s age is not rocket science. It’s simple arithmetic.

I repeat, if all eligibility conditions have been met, including age, which can be figured out by subtraction, the language can be tightened instead of leaving a wrinke that adds another meaning to it.
It's not about figuring someone's age but it's about eligibility requirements which are also not static... they can be changed at any time, or some more criteria may also be added!
 
Katiba imefanyiwa marekebesho na Raisi hivi sasa na itasema kuwa;

"HAKUNA ALIYEPEWA UWEZO WA KUTEUA AKANYIMWA WA KUTENGUA"

Kwa maana hiyo hata Chief Justice anaweza kutenguliwa tu.
Kapewa uwezo wa kutengua lakini pia kapewa taratibu za kutengua! Na kwa maana hiyo, sio tu CJ bali Jaji yeyote ingawaje Rais amepewa mamlaka ya kumtumbua lakini amewekewa utaratibu wa kumtumbua... na utaratibu huo ndo ule wa kumuundia tume dhidi ya tuhuma alizonazo rais dhidi ya muhusika!

Alternatively, labda amtake ajihudhuru! The problem with kumtaka ajihudhuru, muhusika anaweza kugoma na usimfanye chochote zaidi ya kurejea sheria inataka nini ili kumwondoa!
 
Hahahaa.

Naona kinachomsumbua ni uelewa tu wa lugha ya Kiingereza.
Look at you... yale yale, ingawaje ulijifanya kukana nilipokuambia hoja zako zime-base kwenye beliefs kwamba unajua Kiingereza!!!

Kuna siku utakuja kubishana hadi na Quantum Physicist wa Kirusi kuhusu masuala ya quantum mechanics kwa sababu tu mada husika imeandikwa kwa Kiingereza!!!
 
Umetumia muda mwingi sana kukopi na kukatakata bila substance yoyote. Eligibility siyo kustahili ni kuwa na sifa. Assad ni eligible kuwa CAG kwa miaka mitano mingine na so Charles naye ni eligible kuwa CAG kwa miaka mitano ijayo. Sheria ingetaka astahili kuendelea miaka mingine mitano ingesema and shall deserve ..., ambayo pia bado haitoi guarantee kuwa ataendelea. Kama sheria ingetaka aendelee kwa vipindi viwili, ingesema explicitly kuwa
The Controller and Auditor-General shall hold office for two fixed terms of five years each.

Mengine yote uliyoandika ni projo tu; hakuna substance yoyote; sheria iko wazi kabisa.
Wow! Seems umekuwa disappointed baada ya kuamini sijasoma katiba na ukakuta nimekuwekea vifungu vya katiba!!! Unajua kwanini unaona nimekatakakata bila substance yoyote kama ulivyodai?! The difference between me, and you guys ni kwamba wakati nyinyi mnaongea kwa kutoa kichwani, kwa kawaida, sio kwa mjadala huu tu, huwa siandiki bila kutoa reference to support my argument.

All in all, naomba unijibu swali ambalo nimekuuliza mara mbili lakini hutaki kujibu! Toa mifano hai ya ku-support madai yako kwamba Prof Assad alikuwa anatumia madaraka yake ku-favor vyama fulani vya siasa!!!
Kilio kingi hapa ni kwa sababu jamaa alikuwa ni political na akawa ana propagate mawazo ya vyama fulani hata pale data ziliku siyo upande wake. Ukipitia ripoti zote alizotoa miaka mitatu iliyopita zote ziko clean, lakini akisha kuwa mbele ya maikrofoni tu anaanza kutunga ngonjera.
 
Wow! Seems umekuwa disappointed baada ya kuamini sijasoma katiba na ukakuta nimekuwekea vifungu vya katiba!!! Unajua kwanini unaona nimekatakakata bila substance yoyote kama ulivyodai?! The difference between me, and you guys ni kwamba wakati nyinyi mnaongea kwa kutoa kichwani, kwa kawaida, sio kwa mjadala huu tu, huwa siandiki bila kutoa reference to support my argument.

All in all, naomba unijibu swali ambalo nimekuuliza mara mbili lakini hutaki kujibu! Toa mifano hai ya ku-support madai yako kwamba Prof Assad alikuwa anatumia madaraka yake ku-favor vyama fulani vya siasa!!!
no kama unasoma basi ama unasoma ukiwa na mindset Fulani au unasoma lakini huelewi unachosoma.

inaelekea unaposoma katiba hujui kuwa iliacha open bunge kutunga sheria kuhusu CAG na sheria iliyopo ni ile ya hesabu za serikali ya mwak 2008. ndiyo maana katiba inasema ukomo wa CAG kiumri ni miaka 60 lakini sheria ya bunge inasema miaka 65. huo ni ukomo kiumri, lakini pia sheria utumishi wa CAG ni kipindi cha miaka mitano, baada ya hapo anaweza kuongezewa kipindi kingine cha miaka mitano ambapo baada ya hapo hawezi kuendelea tena. kifungu hicho kiko kama ilivyo kwa vipindi vya uraisi. kama magufuli asipochaguliwa tena 2020 hawezi kulalamika kuwa katiba imevunjwa. kuendelea kipindi cha pili siyo automatic.

hilo swali bold nalo linaonyesha kuwa unaposoma post nyingine hap pia huzielewi badala yake unazitafsiri kijuujuu tu
 
So, what is the point of a five year contract?

Point ya miaka mitano ni kuweka ukomo wa kustaafu.
Pengine mtu alikuwa na miaka 59, alafu akateuliwa kuwa CAG, automatiki atamaliza kipindi cha miaka 5 akiwa na miaka 64.

Sasa hapo Rais hawezi kumpa mkataba mwingine kwa kuwa tayari umri uliotafsiriwa na sheria/ katiba ni miaka 65.
 
Katiba inapingana na habari hizi za miaka mitano.

Inasema kama CAG hajaumwa, hajajiuzulu na hajaundiwa jopo la kumtoa, hakuna namna nyingine ya kumtoa.

Habari za CAG kuondolewa baada ya miaka mitano ni kinyume na katiba.
 
no kama unasoma basi ama unasoma ukiwa na mindset Fulani au unasoma lakini huelewi unachosoma.

inaelekea unaposoma katiba hujui kuwa iliacha open bunge kutunga sheria kuhusu CAG na sheria iliyopo ni ile ya hesabu za serikali ya mwak 2008. ndiyo maana katiba inasema ukomo wa CAG kiumri ni miaka 60 lakini sheria ya bunge inasema miaka 65. huo ni ukomo kiumri, lakini pia sheria utumishi wa CAG ni kipindi cha miaka mitano, baada ya hapo anaweza kuongezewa kipindi kingine cha miaka mitano ambapo baada ya hapo hawezi kuendelea tena. kifungu hicho kiko kama ilivyo kwa vipindi vya uraisi. kama magufuli asipochaguliwa tena 2020 hawezi kulalamika kuwa katiba imevunjwa. kuendelea kipindi cha pili siyo automatic.

hilo swali bold nalo linaonyesha kuwa unaposoma post nyingine hap pia huzielewi badala yake unazitafsiri kijuujuu tu
Jibu swali, manake hakuna kipya ulichoandika kipya!!
 
Hakuna ujualo; kazi kulalama tu. Kama mtu wako kaonewa nenda kalalamike mahakama kuu.
Nakubaliana na wewe... HAKUNA NIJUALO!! Wewe MWENYE KUJUA SANA jibu basi swali langu, tatizo liko wapi?!
 
Kwa maana nyingine, Public Audit Act inaposema "...and shall be eligible for renewal for one term only. Hapo suala la renewal ni SHURUTI kama ilivyosema Interpretation of Laws Act 53 (2).

Zaidi soma:

Umemislead watu
Shall inashurutisha eligibility na sio renewal
Ukiisha weka eligibility maana yake anaweza pewa mkataba mwingine au asipewe
Neno au phrase ya "shall be eligible for renewal for one term only" ina maana sawa na "May be reappointed"
Kama hiyo sentensi ingekuwa na maana uliyotaja kusingekwua na maana ya kuphrase kwa naman hiyo badala yake ingeandikwa tu hivi
"shall be re-appointed for one term only" kitu ambacho haikukusudiwa hivyo
Nenda kaboreshe kimombo chako ndugu
 
Again... kaboreshe kimombo wakati hapa tunazungumzia sheria, na ndio maana umeshindwa kuoanisha ibara mbili tofauti kwenye mada na kujikita kwenye ibara moja huku ukisahau mimi nimeweka ibara mbili!

Ni kutokana na umuhimu wa ibara mbili tofauti, ndio maana hata Profesa Shivj na mwenyewe alikiri kwamba mwanzoni alikuwa amechemka kwa sababu alitumia ibara moja tu:-
Shivji.png

Ila kwa watu aina yako, sitashangaa ukimbishia hata Shivji kwa hoja ya Viingereza vyenu mlivyojifunzia ukubwani wakati mjadala hapa ni wa kisheria!!

Halafu angalia unavyojichanganya mwenyewe! Unasema "Shall inashurutisha eligibility" halafu tena unasema "Ukishaweka eligibility maana yake anaweza pewa." Shurutisha = Anaweza?
 
View attachment 1259001

Sawa mwansheria
Nikuulize swali
Nini maana ya kuwa ofisini miaka mitano (5) kama renewal ni automatic? si sheria ingesema tu miaka 10 na biashara ikaishia hapo!

Hata hizo ibara mnazisoma kichwa kichwa na ndio maana una rely na porojo za akina Shivji. Pole sana.
Kama Shivji hana porojo kwa nini anaomba msamaha? ni kwa sababu kachanganya interpretations na anaendelea kuchanganya, Shivji is a human being like any one else, hatuwezi mweka yeye kuwa benchmark ya kutafsiri sheria zilizoptungwa na Bunge. Bunge na Mahakama ndio walitakiwa wacoment kuhusu ukiukwaji wa sheria au katiba. Au nyie mnaoona sheria imevunjwa pelekeni mahakamani mkadai tafsiri ya sheria huko. Hapa sio mahali pake na kama mnaona hapa ndio mahali pake basi kuwa tayari kupata mawazo mbadala

Sheria inataja mambo matatu
  1. Renewal (penye renewal kuna none renewal) otherwise kwa akili ya kawaida kusingekuwa na maana ya kuweka renewal)
  2. Removal from office kwa sababu ya magonjwa, tabia mbaya, kuvunja sheria ya maadili ya viongozi wa umma, kushindwa kutekeleza majukumu yake au sababu nyingine yeyote na ataondolewa kwa mujibu ya ibara 144(4)
  3. Retirement - kuacha ofisi kwa sababu ya umri Ibara ya 144(1)
Hii ya 2 ina maana ya kuondolewa muda wowote hata kama ni baada ya mwaka mmoja tu baada ya uteuzi, na ibara ya 144(2,3,4,5) zinatoa mwongozo wa kumuondoa kwa nguvu kwa kupitia tume itakayoundwa na Rais.
Ibara ya 144(1) inasema CAG ataondoka ofisini kwa lazima akifikisha umri wa miaka 60 au kama bunge litakavyosema vingine.
 
Hata hizo ibara mnazisoma kichwa kichwa na ndio maana una rely na porojo za akina Shivji. Pole sana.
Kwa kauli yako hii, wacha nikupuuze... nalazimika kukuupuza kwa sababu, mosi am certain hujai hata kwenye kiganja cha Shivji, pili, thread yangu niliiandika kabla Shivji hajagundua kosa lake kwahiyo nakuona kituko unavyodai na-rely kwa Shivji, tatu, unakuwa kituko unaposema:-
Bunge na Mahakama ndio walitakiwa wacoment kuhusu ukiukwaji wa sheria au katiba.
Ni kituko kwa sababu hatuna sheria inayosema kwamba eti bunge ndilo lenye mamlaka ya ku-comment kuhusu ukiukwaji wa sheria au katiba!, nne; kwamba
Au nyie mnaoona sheria imevunjwa pelekeni mahakamani mkadai tafsiri ya sheria huko.
This's too low to argue manake inaonesha wazi huna uelewa kuhusu role ya mitandao ya kijamii, na lastly, inatia uvivu kurudia kile kile kwa sababu hakuna ulichohoji ambacho watu hawajakielezea!!
 
Back
Top Bottom