lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,411
- 21,868
Jibu viraka viraka tu na maswali ya msingi kwepa, utajidanganya wewe mwenyeweKwa kauli yako hii, wacha nikupuuze... nalazimika kukuupuza kwa sababu, mosi am certain hujai hata kwenye kiganja cha Shivji, pili, thread yangu niliiandika kabla Shivji hajagundua kosa lake kwahiyo nakuona kituko unavyodai na-rely kwa Shivji, tatu, unakuwa kituko unaposema:-Ni kituko kwa sababu hatuna sheria inayosema kwamba eti bunge ndilo lenye mamlaka ya ku-comment kuhusu ukiukwaji wa sheria au katiba!, nne; kwambaThis's too low to argue manake inaonesha wazi huna uelewa kuhusu role ya mitandao ya kijamii, na lastly, inatia uvivu kurudia kile kile kwa sababu hakuna ulichohoji ambacho watu hawajakielezea!!