Suala la Miss Tanzania ni la kitaifa zaidi, hatuwezi kuwaacha wahuni wawe waandaaji wa taji hili

The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
9,309
20,328
Kuna zaidi ya siku 10, Crowned Miss Tanzania hajafika huko Puerto Rico, wanzake wameshafika na wanaendelea na kambi kwa nini miss wetu hajafika mpaka muda huu?simply hawaelewani na uongozi wanaondaa hili tamasha

Nashauri serikali iunde taasisi huru, inayojitegema kwa ajili ya kuandaa tuzo hii, wenzetu wanapeleka hadi majasusi kushiriki masuala ya urembo leo hii tunakuja kuhujumiwa na kikampuni uchwara, ambacho issue personal zinaathiri maslahi ya nchi kimataifa

BASATA wanatakiwa waipige ban hii kampuni tena la maisha wasikae waandae tena.
 
Back
Top Bottom