UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,239
- 7,603
Kwanini sasa kuishie Chato tu?Kuliishia chato.
Kwanini sasa kuishie Chato tu?Kuliishia chato.
Machinga na bodaboda hawawezi kuza uchumi wale sio wazalishaji bali ni madalali wa bidhaa za viwanda vya China.Watakwambia ule upuuzi wa wamachinga ndio ajira za uchumi wa kati hizo.
Naona Leo mmevamia jukwaaa kwa kasi kubwa na agenda ni moja tuHabar zenu ndugu, jamaa na marafiki mliopo humu..
Ndugu zangu baada ya kupokea taarifa ya kukamatwa kwa mwenyekigoda wa chama fulani, wengi wetu tulijua sasa kutachimbika.
Mfano mimi binafsi nilijua viongozi wa chama chake wangewaongoza wafuasi wao nchi nzima wafanye mgomo wa kula, kunywa, kutoka nje, kuoga nk ili kuishinikiza mamlaka iamue vinginevyo kuhusu mwenyekigoda wao. Lkn kwa bahati mbaya tulichokuwa au nilichokuwa nafikiria imekuwa tofauti.
Watu wanajiachia mitaani kama kawa, shughuli za kila siku zinaendelea, nyama zinachomwa na kuliwa mitaani kama kawa, vyakula vinaliwa mitaan na majumban kama kawa, pombe zinanyweka, na baa zinajaa kama vile hakuna kilichotokea kwa kiongozi mwenye hadhi kubwa kama yake.
Napata shaka kuwa huenda kuna mkono na msukumo wa watu kutoka ndan ya chama chake kuhusiana na swala hili.
Chukulia kauli ya kususwa asiwekewe dhamana nk. Waswahili wanasema siku zote "Kikulacho ki nguoni mwako".
Pole bwana Abubakar... hii ndo dunia.
Kama jinsi nyinyi mlivyovamia wakati wa Sabaya. Mkuki kwa nguruwe, ila kwa binadam mchungu. Kuna msemo unaosema "kutesa kwa zamu" kwahiyo zam yenu ya kutesa iliishi kipindi cha Sabaya na maisha yakaendelea. Sasa zam yetu utulie hivyo hivyo kama unaesikilizia kitu kigumu kule chini.Naona Leo mmevamia jukwaaa kwa kasi kubwa na agenda ni moja tu
Hakika kaka..Baada ya kugundua wanasiasa ni wanafiki na sisi wananchi timekuwa wanafiki..ngoma droo
Mpaka sasa anaabudiwa,jitoge kidole cha nyuma unuse.Magufuli asingekufa,mngejenga makanisa kumwabudu mbwa nyie,Bora alikufa
Kwa hiyo nyie maccm ndo mko vizuri, tozo na uchumi wa maisha haviwahusuMama kawafanyia ubinadamu kuagiza haki na kufutwa kesi za kubambikiwa ninyi mkaanza kumtukana na kumdharau hata kudiriki kutamka " mwambieni yule Mama tutamnyoa". Tuliwaonea sana huruma kipindi kile mnapitia magumu na mateso lakini sasa kumbe ndio mlikuwa mna enjoy?
Makamu mwenyekiti katoa tamko akiwa ughaibuni ana zisakisia Nyumbu huku Serengeti,Ukitaka kujua upuuzi wa wanasiasa wa Tanzania hasa wale wanajiita wanachama damu wa CHADEMA ni kwenye vipindi kama hivi.
Yaani hata wao hawaonekani barabarani, ila kwa kujitoa mhanga kwenye mitandao wapo full !.
Now ndiyo walipaswa tuwaone umoja na mshikamano wao kwa great chairman wao, makamu mwenyekiti katoa tamko ila mwisho wa siku ni blue print!.
Ok hivyo hivyo kea wasio wapinzani yaani tozo mara mbli alafu kuna watu wamechota mihela BOT wapo mtaani wanadunda , alafu watu wajingaUkitaka kujua upuuzi wa wanasiasa wa Tanzania hasa wale wanajiita wanachama damu wa CHADEMA ni kwenye vipindi kama hivi.
Yaani hata wao hawaonekani barabarani, ila kwa kujitoa mhanga kwenye mitandao wapo full 😁!.
Now ndiyo walipaswa tuwaone umoja na mshikamano wao kwa great chairman wao, makamu mwenyekiti katoa tamko ila mwisho wa siku ni blue print!.
Kweli??Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.
Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
Nyumbu tu, kwani watu 6m ambao inasemekana kuwa ndiyo wana CDM kat ya watu 60ml wp na wp, hapa kijijini Kwetu wanachama wa CDM hawazidi 10,kwanza mm sitaki hata wake kwangu, Tena hata hiyo 6m nadhani ni no ya kughushi t, Mianzisha Hilo nyie ndiyo mtakae umia,
Pia nikukumbushe we jamaa kuwa unavyo ongelea CDM unaongelea mikoa ya Mara, Arusha, Kilmanjaro, na Mbeya peke yake, na hiyo mikoa unaongelea sehemu za mijini tuuu, huko vijijini watu hawajui habari za Cdm
Kwann mkuu?We hujipendi.
Uko lockdownTutaenda kwenye 10% ambazo sio za wanaccm. Na kwakuwa misiba na sherehe 90% ni ya wanaccm, itatusaidia kutokupoteza muda kuhudhuria misiba na sherehe zao.
Mbowe ameshutumiwa, Sabaya ameshutumiwa, hakuna hata mmoja ambaye mahakama imemkuta na hatia... Sasa kelele zinatoka wapi?Eleza kitu kibaya alichofanya mbowe, nadhani huna hata 1, ila ona watu walivyolia jinzi Gaidi sabaya alivyo haribu na kuiba Mali zao.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app