Suala la maombi ya vyuo kwa vijana walio Jeshini lipoje?

ngalelefijo

JF-Expert Member
Jun 26, 2012
3,709
2,272
Wadau habari?

Vijana wetu wako JESHINI, vipi maombi ya vyuo kwao? Maana hakuna mawasiliano na hatujui utaratibu wao wa kuomba vyuo na mikopo ukoje anayejua.

Msaada please
 
Mkuu ni either umemfanyia or hajafanya huko alipo.

Na 90 percent kama hujamfanyia na hujawasiliana nae kwa lolote bas hajafanya kitu.
 
Mkuu ni either umemfanyia or hajafanya huko alipo.

Na 90 percent kama hujamfanyia na hujawasiliana nae kwa lolote bas hajafanya kitu.
Asante sana.nilitaka kujua serikali imepanga nini kwa hawa vijana walioko jkt kwa mujibu wa sheria,kuhusu udahili na mikopo
 
Kumbe inafaa sana kabla ya kwenda huki ukampanga mtu wako wa karibu mapema na kumuachia detail zako zote ili aweze kusaidia kufanya maombi ya chuo na mkopo
 
Huwa wanapewa muda wa kurudi ku apply. Na licha ya ivoo ata kule walipo Kuna nafasi za kufanya maombi ya chuo na mikopo. Kwaiyoo sio jambo la kutatiza
 
Huwa wanapewa muda wa kurudi ku apply. Na licha ya ivoo ata kule walipo Kuna nafasi za kufanya maombi ya chuo na mikopo. Kwaiyoo sio jambo la kutatiza
I see.tatizo watoto wako kule,lkn hakuna lolote linalo ongelewa na TCU Wala bodi ya mikopo.its unfair kwa kweli
 
Back
Top Bottom